Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Huyo ni Maria Sarungi binti wa Profesa msomi wa tiba za binadamu, Mbunge (mstaafu) wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri (mstaafu) wa Wizara ya Ulinzi ( W UL) mwana siasa mashuhuri ( mstaafu) nchini mzee Philemon Sarungi.
Unadhani Maria huyo unayemsikia hapo juu akikutana na Maria wa sasa hivi wataelewana kweli?!