Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wewe ndo Maria Sarungi?Mbabe kwenye kusimamia sheria, asiye mkabila wala mdini. Siyo mteka watu na muuwa watu.
Asiyeenda kuficha pesa China na kupiga 10% kwenye miradi mikubwa
Duh keshaharibiwa huyoWewe ndo Maria Sarungi?
Nyie ndo vijana mnaoharibiwa
Vijana wa mwendazake mna akili mbovu kama zake.Wewe ndo Maria Sarungi?
Nyie ndo vijana mnaoharibiwa
Akiiona hii clip ataikana si huyu alisema magu alikuwa diktataView attachment 2630589
Huyo ni Maria Sarungi binti wa mwanasiasa mashuhuri nchini mzee Philemon Sarungi.
Unadhani Maria huyo unayemsikia hapo juu akikutana na Maria wa sasa hivi wataelewana kweli?!
Hii imepitwa na wakati stop wasting your bandoView attachment 2630589
Huyo ni Maria Sarungi binti wa mwanasiasa mashuhuri nchini mzee Philemon Sarungi.
Unadhani Maria huyo unayemsikia hapo juu akikutana na Maria wa sasa hivi wataelewana kweli?!
Kama membeVijana wa mwendazake mna akili mbovu kama zake.
Poleni sana harudi tena!
We do not need autocratic leadership in politics but in business,, Maamuzi ya kisiasa huathiri maisha ya watu kwa hasi ama chanya. (maamuzi ya kisiasa yanaweza sababisha biasahra zikue ama zife) na hakuna wa kuhoji, jamii mfu haiwezi kuhoji mfano mzuri muliambiwa hakuna tozo kwenye miamala ya simu kuanzia shilingi sifuri hadi thelathini lakini hazikuondolewa na watu kimyaa! mme ufyata na hawakuridi kuomba msamaha kwamba walikosea wameamua kula bati. Jamii ambayo haiwezi kuhoji wacha iteseke hadi ipate ufahamu bora muliuonja utawala wakufyata mkia mmepata ufahamu kidogo (autocratic leadership). Jamii ya bora liende. jamii ambyo serikali inajifungia kwa muda mrefu na kutumia kodi zenu kutengeneza miongozo na tozo bila kushirikishwa duu poleni sana (governments that spend a lot of time and money to establish rules, regulation and rate settings aimed at guiding business without partcipatory of stakeholders, in a long run become ineffectiveMbabe kwenye kusimamia sheria, asiye mkabila wala mdini. Siyo mteka watu na muuwa watu.
Asiyeenda kuficha pesa China na kupiga 10% kwenye miradi mikubwa
Chawa tuliaMbabe kwenye kusimamia sheria, asiye mkabila wala mdini. Siyo mteka watu na muuwa watu.
Asiyeenda kuficha pesa China na kupiga 10% kwenye miradi mikubwa
Wakikutana watapigana Hatari maria wa sasa kakengeukaView attachment 2630589
Huyo ni Maria Sarungi binti wa mwanasiasa mashuhuri nchini mzee Philemon Sarungi.
Unadhani Maria huyo unayemsikia hapo juu akikutana na Maria wa sasa hivi wataelewana kweli?!
Mbabe mwenye kusimamia Sheria?Mbabe kwenye kusimamia sheria, asiye mkabila wala mdini. Siyo mteka watu na muuwa watu.
Asiyeenda kuficha pesa China na kupiga 10% kwenye miradi mikubwa
Aina ya Wanawake hawa wakiolewa wanataka kuachika na wakiachika wanataka kuolewaView attachment 2630589
Huyo ni Maria Sarungi binti wa Profesa msomi wa tiba za binadamu, Mbunge (mstaafu) wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri (mstaafu) wa Wizara ya Ulinzi ( W UL) mwana siasa mashuhuri ( mstaafu) nchini mzee Philemon Sarungi.
Unadhani Maria huyo unayemsikia hapo juu akikutana na Maria wa sasa hivi wataelewana kweli?!
Hatari mno mkuu!Wakikutana zitapigwa mpaka watoane ndulundi (manundu), na ugomvi kuisha ni lazima wapitanjia tuingilie kati na kuwaachanisha.