Maria Sarungi: Tanzania inahitaji Rais mbabe ili abadili mfumo wa ovyo tulionao

Hii song ilisha kataa,tafuteni nyingine,mmepuuzwa kwa kiwango cha juu sana
umepuuza peke yako.
Lakini historia hauftiki, muuaji na mtekaji atakumbukwa hivyo daima kama akina Hitler , Bokassa na madhalimu wengine. Doa halifutiki!
 
Baba yake akiwa Waziri wa ulinzi aliiba sana Hela za serikali, maria ameishi maisha yake akiogelea katika raha ya fedha za ufisadi, zimemsomesha, na hata Sasa anendelea kutumia fedha hizo
Ndiyo anataka rais mbabe maana hata Baba yake asinge fisadi pesa ya serikali.
 
..Maria Sarungi alitaka Raisi mbabe.

..na huenda bado anataka Raisi mbabe.

..lakini kuna ubabe wa aina nyingi.

..muulizeni, Je, alitaka Raisi mwenye ubabe kama wa Magufuli?



.
 
Haaaahaaa nimecheka sana tena alikuwa anaongea kwa msisitizo duuuh! Usicheze na Mungu na Technolojia R.I.P Ruge.
 

Yeye ameyasema hayo akiwa anatesekea wapi
 
Mbabe kwenye kusimamia sheria, asiye mkabila wala mdini. Siyo mteka watu na muuwa watu.
Asiyeenda kuficha pesa China na kupiga 10% kwenye miradi mikubwa
Yaani Dikteta mzalendo na muadilifu kweli kweli !! Na akae madarakani kwa muda usiopungua miaka 20 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…