Maria Sarungi: Tofauti na wakoloni, watawala wetu hawana pa kwenda hawatambui kuwa ‘Kwao ni Kwetu’

Maria Sarungi: Tofauti na wakoloni, watawala wetu hawana pa kwenda hawatambui kuwa ‘Kwao ni Kwetu’

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Serikali ya kikoloni ilikuwa occupation na walitumia Dola, Vitisho na ubabe kutwaa madaraka lakini walijua siku ikifika wameshindwa watarudi makwao.

Hawa wakoloni weusi ni kama hawatambui kuwa kwao ni kwetu! Hawana pakwenda! Ila kuondoka madarakani haikwepeki

#TutaelewanaTu. ~ Maria Tsehai Sarungi.

Tukubali Tukatae huyu dada ni Bright na ni Next Level kwa Watanzania walio wengi. Vichwa kama hivi huwa havitakiwi na watawala hasa wa ki Afrika.
 
IMG_20210528_133707.jpg
 
Hiki ni kichwa ambacho tungekua navyo humu JF kama 40%tu tungekua na mijadala yenye tija kwa Taifa,hii ni nchi yetu wote sisi regardless tofauti zetu za kiitikadi (ni right yetu kikatiba)sasa utakuta mtu anajiita ni Afisa kilimo Ruvuma hata vijiji vya mkoa huo havijui wakulima wake wanaishi kwenye level gani kimaisha kisa yeye na familia yake they above poverty line,na hii ni bushit kubwa.
 
Hao kina maria uwa wanakua against na utawala ambao umewatupa wao wenyewe ama wazazi wao,huyo akirudishwa kwenye system ya kula keki ya taifa ataufyata kama alivyoufyata kigogo baada marope kurudi kwenye system
 
Mawaziri kwao ni Tanzania?

Hao wake zao huenda kujifungulia Ulaya na America, unadhani ni kwanini?

Jifunzeni kwa Lema na Tundu Lisu.
 
Kwa akili zako unadhani Maria Sarungi ana njaa? Au Fatma Karume?

Pole sana!.
 
Hao kina maria uwa wanakua against na utawala ambao umewatupa wao wenyewe ama wazazi wao,huyo akirudishwa kwenye system ya kula keki ya taifa ataufyata kama alivyoufyata kigogo baada marope kurudi kwenye system
Usimfananishe Maria na Kigogo asiyejulikana.
 
Pamoja na Vita ukombozi wa pili kujinasua kutoka utawala wa mkoloni mweusi ni vigumu ,ushindi lazima.
 
Mawaziri kwao ni Tanzania?

Hao wake zao huenda kujifungulia Ulaya na America, unadhani ni kwanini?

Jifunzeni kwa Lema na Tundu Lisu.
Kwahiyo wake zao wakijifungulia ulaya na wao wanakuwa sio watanzania.
 
Hao wakoloni weusi wanaamini Tanzania ni mali yao ya urithi walioachiwa na baba wa taifa, Nyerere. Kwa hiyo hawana mpango wa kutoka madarakani na siyo rahisi kuwatoa madarakani bila damu nyingi kumwagika.
 
Back
Top Bottom