Hamia Burundi mzee! Mbona mwigulu alishasema! Hii Nchi imeshakua ngumu.najiona sio Mtanzania kbs.
sio muda nitahamia nchi yoyote nitakayo ichagua na sio kuchaguliwa.Hamia Burundi mzee! Mbona mwigulu alishasema! Hii Nchi imeshakua ngumu.
Kwa akili zako unadhani Maria Sarungi ana njaa? Au Fatma Karume?Hao kina maria uwa wanakua against na utawala ambao umewatupa wao wenyewe ama wazazi wao,huyo akirudishwa kwenye system ya kula keki ya taifa ataufyata kama alivyoufyata kigogo baada marope kurudi kwenye system
Usimfananishe Maria na Kigogo asiyejulikana.Hao kina maria uwa wanakua against na utawala ambao umewatupa wao wenyewe ama wazazi wao,huyo akirudishwa kwenye system ya kula keki ya taifa ataufyata kama alivyoufyata kigogo baada marope kurudi kwenye system
Kwahiyo wake zao wakijifungulia ulaya na wao wanakuwa sio watanzania.Mawaziri kwao ni Tanzania?
Hao wake zao huenda kujifungulia Ulaya na America, unadhani ni kwanini?
Jifunzeni kwa Lema na Tundu Lisu.
Unajua namna Lema alivyoondoka?Kwahiyo wake zao wakijifungulia ulaya na wao wanakuwa sio watanzania.
Jibu swali.Unajua namna Lema alivyoondoka?
Aliwapeleka watoto wake nchini kwao!Jibu swali.
Waziri gani huyo na aliwapeleka wapi.Aliwapeleka watoto wake nchini kwao!
Waziri kivuli wa mambo ya ndani mstaafu!Waziri gani huyo na aliwapeleka wapi.