Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Sidhani Kama unasema sawa. Huwezi jua Kama utakuja zaa watoto smart Kama hao kichwani. Siyo mambo ya kumdharau hivyo. Hawa siyo Wajinga hata kidogo. Mshukuru MunguUnatuletea hawa wajinga ili kupata nini? Mie naona wote sawa tu. Ni mabinti wa vigogo waliolewa uzito wa familia zao. Wamebebwa na hilo kufikia hapo walipo.
Kwani ujinga maana yake nini? Kila mtu ni mjinga katika mambo fulani na mjuzi katika mengine. Hivo sijaona umuhimu wa hawa mademu wawiliSidhani Kama unasema sawa. Huwezi jua Kama utakuja zaa watoto smart Kama hao kichwani. Siyo mambo ya kumdharau hivyo. Hawa siyo Wajinga hata kidogo. Mshukuru Mungu
Unataka kujenga hoja gani apoUnatuletea hawa wajinga ili kupata nini? Mie naona wote sawa tu. Ni mabinti wa vigogo waliolewa uzito wa familia zao. Wamebebwa na hilo kufikia hapo walipo.
Ni nakosa kumuita Halima mzee.Na Mzee Mdee je anasimamia nini?
na makamanda aina hii ndio mtaji wa chadema.Inawezekana uelewa wake wa sheria ndio unampa confidence, anajiamini coz anajua amewaweka kwenye mfuko wa shati mawakili wote wa serikali.
Simply kusema kuwa hawa hawana sifa yoyote ya kupoteza muda kuwajadili katika jamii.Unataka kujenga hoja gani apo
Katika kipindi ambacho haki ya kufanya siasa za ushindani zenye kuzingatia uhuru na haki za kidemokraia zinapata vizuizi kila kukicha.Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.
Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
Na wewe ukoje Komeo lachumaMaria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.
Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
I can say for certainity, that the knowledge and information they have in their brain traverses all walks of life you can think of! Important to them and everyone of us is to know where you can get knowledge and information you need, and they have that capacity!Kwani ujinga maana yake nini? Kila mtu ni mjinga katika mambo fulani na mjuzi katika mengine. Hivo sijaona umuhimu wa hawa mademu wawili
You are terribly off the mark my child. If we need knowledge, we don't have to depend on individuals but instead we must depend on institutions. Shall the issue be knowledge, are these girls universities or individuals? Who wants knowledge and info that depends on just a few individuals in the first place. Let me peel your eyes my child and you can take this to any bank. The duo has nothing prominent so as to busy as as thinkers so to speak. If I may kindly ask. What unique knowledge and info does the duo have that others don't? How many. need that knowledge even info and for what purposeI can say for certainity, that the knowledge and information they have in their brain traverses all walks of life you can think of! Important to them and everyone of us is to know where you can get knowledge and information you need, and they have that capacity!
Uzito wa vichwa vyenu kuelewa mambo kwa haraka ndio unamsababisha awatolee povu.na makamanda aina hii ndio mtaji wa chadema.
kama hutoi povu kwenye ujengaji hoja unaonekana unapungukiwa kitu.
Haa haa just haa haa , MaCCM maoga sana nyie, mmnaogopa na “maria space”😄😄Unatuletea hawa wajinga ili kupata nini? Mie naona wote sawa tu. Ni mabinti wa vigogo waliolewa uzito wa familia zao. Wamebebwa na hilo kufikia hapo walipo.
Na bi Chokochoko wa Makunduchi anaeimba sana taarabu, anasimamia nini😄Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.
Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
Mbona ni kama unadharau mchango wa wana wake katika kutetea haki na utawala wa sheria.Hawa wadada wawili wanastahiki tuzo ya amani ya NOBELSimply kusema kuwa hawa hawana sifa yoyote ya kupoteza muda kuwajadili katika jamii.