Maria Sarungi vs Fatma Karume kuna mambo haya

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.

Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
 
Unatuletea hawa wajinga ili kupata nini? Mie naona wote sawa tu. Ni mabinti wa vigogo waliolewa uzito wa familia zao. Wamebebwa na hilo kufikia hapo walipo.
Sidhani Kama unasema sawa. Huwezi jua Kama utakuja zaa watoto smart Kama hao kichwani. Siyo mambo ya kumdharau hivyo. Hawa siyo Wajinga hata kidogo. Mshukuru Mungu
 
Kwani ujinga maana yake nini? Kila mtu ni mjinga katika mambo fulani na mjuzi katika mengine. Hivo sijaona umuhimu wa hawa mademu wawili
 
Nadhani mmoja wao ana mme na mwingine hana; ila sina uhakika na thesis hiyo!
 
Na Mzee Mdee je anasimamia nini?
Ni nakosa kumuita Halima mzee.

It is defamation of high degree kufanya hivyo. Achana myth ya aina hiyo.

Hata hivyo kwenye kusimamia Nini, mimi naona anasimamia usaliti.
 
Inawezekana uelewa wake wa sheria ndio unampa confidence, anajiamini coz anajua amewaweka kwenye mfuko wa shati mawakili wote wa serikali.
na makamanda aina hii ndio mtaji wa chadema.

kama hutoi povu kwenye ujengaji hoja unaonekana unapungukiwa kitu.
 
Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.

Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
Katika kipindi ambacho haki ya kufanya siasa za ushindani zenye kuzingatia uhuru na haki za kidemokraia zinapata vizuizi kila kukicha.

Katika kipindi ambacho vyombo vya dola vinatumiwa vibaya na chama tawala ili kuwatia hofu na kuwakandamiza wapinzani kuendesha shughuli za kisiasa kwa mujibu wa katiba na sheria.

Katika kipindi ambacho mijadala huru inahitajika ili kuwafungua macho zaidi wapenda mabadiliko na hata kutafuta njia sahihi ya kukabiliana na hila za kidhalimu za mkoloni huyu mweusi.

Basi ama kwa hakika hawa ni watu jasiri, thabiti, imara na wenye uthubutu wa kuongea mambo yanayotendeka hapa nchini kwa usiri na kificho kikubwa, na madhila ambayo wapinzani wanayapitia ndani ya nchi hii. Nahisi kuna haja ya kuwatia moyo na kuthamini michanfo yao chanya, nafikiri hakuna haja yoyote ile ya kuangalia jinsi zao kama wanawake ama hata kuongelea mambo yao mengine binafsi na ya kifamilia.
 
Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.

Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
Na wewe ukoje Komeo lachuma
 
Kwani ujinga maana yake nini? Kila mtu ni mjinga katika mambo fulani na mjuzi katika mengine. Hivo sijaona umuhimu wa hawa mademu wawili
I can say for certainity, that the knowledge and information they have in their brain traverses all walks of life you can think of! Important to them and everyone of us is to know where you can get knowledge and information you need, and they have that capacity!
 
You are terribly off the mark my child. If we need knowledge, we don't have to depend on individuals but instead we must depend on institutions. Shall the issue be knowledge, are these girls universities or individuals? Who wants knowledge and info that depends on just a few individuals in the first place. Let me peel your eyes my child and you can take this to any bank. The duo has nothing prominent so as to busy as as thinkers so to speak. If I may kindly ask. What unique knowledge and info does the duo have that others don't? How many. need that knowledge even info and for what purpose?
 
na makamanda aina hii ndio mtaji wa chadema.

kama hutoi povu kwenye ujengaji hoja unaonekana unapungukiwa kitu.
Uzito wa vichwa vyenu kuelewa mambo kwa haraka ndio unamsababisha awatolee povu.
 
Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.

Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
Na bi Chokochoko wa Makunduchi anaeimba sana taarabu, anasimamia nini😄
 
Back
Top Bottom