Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Watajua wenyewe na taratibu zao ila kizazi cha sasa miaka 12 binti hana upeo wa kutunza ndoa na hekaheka zake na vijana hawa wanaopenda kubeti kuliko kilimo.
 
Tatizo la wakiristo ni kupenda kujitoa akili kitu kiko wazi lakini wanapinga mfano watoto walio mitaani wanaojiuza siku hizi ni kuanzia miaka 12 na kuendelea

Wanafunzi walio pigwa mimba na kuludi shuleni nahao hao miaka 12,14 ,15 hii ali wakiristo wanaona wengine wanatoto usiku wanaluka ukuta wanaludi asubuhi heti bado watoto wakiristo kitendo chenu cha kujitoa akili ndicho kina sababisha wakini gawajima lusekelo mnaguzwa ngazi wenzenu wanatajirika kwa sababu ya utahila wenu
 
Wewe na huyu wa miaka 14 tofaoti yenu nn?
 
Mtoa Mada haoni umuhimu wa watoto kusoma ,yey anataka wajazwe Mimba walee watoto wenzao Bullshit
 
Hawakina miujiza kazi kupinga tu mengine mama zao aliolewa akiwa na miaka hiyo yakiwa hapa yanapinga mpaka mishipa ya shingo inawadimama hili uwe mkiristo upinge lolote atakalo sema muisilamu hata kama liko wazi kama hili
 
Kwani akiolewa awezi soma kwani maisha mazuli lazima uajiriwe kuna watoto wakike 6000 waliopigwa mimba na kuludi shuleni na watoto wao mgongoni ndio kusema wote hao ni waisilamu wakiristo hawamo,kazi kujikweza tu kujifanya mnaishi maisha ya juu aliyakuwa tuko wote mitaani tunajuana

Kuhusu ajira huo niupendeleo watumishi wa umma nchii kunauwezekano wakawa nusu kwa nusu lakini mbona wengi wako mtaani wanaishi tu bila kutegemea utumwa wa muajiri alafu ukome
 
Wewe una Binti mwenye miaka 12? Je! ungependa naye aolewe mke wa tatu na libabu lenye wajukuu wakubwa kuliko Binti yako au asome?
Kuliko kuishia mtaani na kujiuza bora aolewe lakini kama ametulia shuleni asome tu
 
Ukili kisoda si ajabu bibi yako aliolewa akiwa na umri huo
 
Kipi bora miaka 14 ajiuze mitaani au aolewe?
 
Mimi kama Mtanzania ambaye najua kwamba Serikali haina Dini; hizo Imani zetu ziishie kwenye mahekalu na Makanisa..., Kwa karne hii ambayo mwanamke sio mama wa nyumbani anayehitaji career na kufuata ndoto zake unachosema ni kuendekeza utumwa.., Yaani Kuifanya nusu ya Wanajamii kama watumishi / Miliki ya Nusu nyingine....

Na hizo ni zama za kale...
 
Wee uliyeleta hili andiko mwanao akiolewa na miaka 12, 14 utafurahi? Dunia imebadilika Kuna mambo mengi ya kumuendeleza binadamu, binadamu wa miaka 2000 iliyopita wakati wa Yesu, hakukuwa na mbadala, hivi Sasa fursa zipo wakati anasoma anakua. Badae malalamiko yanakuja kundi x linaajiriwa zaidi kuliko kundi y wakati kundi y watoto waliozeshwa. Tena utakuta hta kijana wa miaka 15, kaoa!
 
Ni ujinga tu na uwendawazimu

Hakuna kipindi ambacho mtoto wa kike huwa anavutia kama akiwa na miaka 14-18 hii ni nature ili wanaume wabebe chombo waweke ndani

nDo maana kwasasa kuolewa ni ngumu maana muda wa mvuto unakuwa umeshaisha
 
Ukili kisoda si ajabu bibi yako aliolewa akiwa na umri huo
Halafu tukiwaita wapumbavu mnalalamika, nendeni shule mkasome na pelekeni watoto wenu shule wasome.

Kama bibi yangu aliolewa na umri huo ni miaka ya zamani huko 1916, mazingira ya kipindi hicho hayawezi kufanana na mazingira ya sasa. Nyie tatizo lenu kubwa ni kukosa elimu. Huwezi kufananisha mazingira ya 1916 na haya ya 2023, acheni upumbavu.

Wabakaji mnataka muendelee kuhalalishiwa ubakaji wenu.
 
Umeona umeandika Mambo mengi ata like moja haujapata kutoka kwa jama zako inamanisha umeandika ujinga mzee jitafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…