Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Taratibu za wa israel kwa enzi za Yesu ilikuwa ni kwamba binti akibalehe tu anaolewa, mabinti ambao bado walikuwa bado hawajabalehe waliitwa NA’ARAH ambao walikuwa hawajafikia umri wa miaka 12, kuna exception chache mabinti wa chini ya miaka 12 waliolewa, Mifano ni mfalme Daudi
Watajua wenyewe na taratibu zao ila kizazi cha sasa miaka 12 binti hana upeo wa kutunza ndoa na hekaheka zake na vijana hawa wanaopenda kubeti kuliko kilimo.
 
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika historia ilikuwa ni kwamba mabinti wanapovuka umri wa miaka 12 huolewa, Huu ndio uliokuwa umri wa kawaida kwa mabinti kuolewa katika utamaduni wa waisrael, Kinachotofautisha binti na mtoto ulikuwa umri, Wasichana chini ya miaka 12 waliitwa NA’ARAH, hawa walikuwa bado hawajafika miaka 12, ni watu wachache kama mfalme Daudi waliweza kufunga ndoa na mabinti chini ya miaka 12


Mama yake Yesu Mariam aliolewa akiwa na miaka 12 tu wakati ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu , Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Tatizo la wakiristo ni kupenda kujitoa akili kitu kiko wazi lakini wanapinga mfano watoto walio mitaani wanaojiuza siku hizi ni kuanzia miaka 12 na kuendelea

Wanafunzi walio pigwa mimba na kuludi shuleni nahao hao miaka 12,14 ,15 hii ali wakiristo wanaona wengine wanatoto usiku wanaluka ukuta wanaludi asubuhi heti bado watoto wakiristo kitendo chenu cha kujitoa akili ndicho kina sababisha wakini gawajima lusekelo mnaguzwa ngazi wenzenu wanatajirika kwa sababu ya utahila wenu
 
Hakuna mtu amekataa, kila mzazi ana malengo na maisha ya binti yake, kama nyie mnaona 12yrs inatosha kwa mabinti zenu kuolewa waruhusuni tu tusipigizane kelele, afterall ni binti yako

Mtoto wa miaka 12 bado anahitaji elimu, anahitaji muongozo na malezi kutoka kwa mzazi, anahitaji mwanga wa kujua future yake ni nini na ndoto zake za baadae ni zipi, pia anahitaji akili ikue ili hata umri wa kuingia kwenye ndoa unapofika awe amepevuka vya kutosha kuamua anahitaji mwenza wa namna gani

Ndoa ni jukumu la kulea mume pamoja na familia. Huyu binti ambae nae anahitaji kulelewa unamuingiza kwenye majukumu makubwa ambayo yanamzidi umri huoni kama ni ukatili?

Hata msichana wa kazi za ndani tu miaka 12 hafai maana utamkuta nae anacheza na watoto hajafanya chochote sembuse kumfanya awe mke
Wewe na huyu wa miaka 14 tofaoti yenu nn?
 
Mtoa Mada haoni umuhimu wa watoto kusoma ,yey anataka wajazwe Mimba walee watoto wenzao Bullshit
 
Taratibu za wa israel kwa enzi za Yesu ilikuwa ni kwamba binti akibalehe tu anaolewa, mabinti ambao bado walikuwa bado hawajabalehe waliitwa NA’ARAH ambao walikuwa hawajafikia umri wa miaka 12, kuna exception chache mabinti wa chini ya miaka 12 waliolewa, Mifano ni mfalme Daudi
Hawakina miujiza kazi kupinga tu mengine mama zao aliolewa akiwa na miaka hiyo yakiwa hapa yanapinga mpaka mishipa ya shingo inawadimama hili uwe mkiristo upinge lolote atakalo sema muisilamu hata kama liko wazi kama hili
 
Mtoto wa miaka 12 bado anahitaji elimu, anahitaji muongozo na malezi kutoka kwa mzazi, anahitaji mwanga wa kuja future yale ni nini na ndoto zake za baadae ni zipi, pia anahitaji akili ikue ili hata umri wa kuibgia kwenye ndoa unapofika awe amepevuka vya kutosha kuamua anahitaji mwenza wa namna gani...

Waambie hao wazee wa kukariri...wao wanaoza..huku wanasomesha...kwenye ajira wanalalamika upande wa pili wanapendelewa
Kwani akiolewa awezi soma kwani maisha mazuli lazima uajiriwe kuna watoto wakike 6000 waliopigwa mimba na kuludi shuleni na watoto wao mgongoni ndio kusema wote hao ni waisilamu wakiristo hawamo,kazi kujikweza tu kujifanya mnaishi maisha ya juu aliyakuwa tuko wote mitaani tunajuana

Kuhusu ajira huo niupendeleo watumishi wa umma nchii kunauwezekano wakawa nusu kwa nusu lakini mbona wengi wako mtaani wanaishi tu bila kutegemea utumwa wa muajiri alafu ukome
 
Wewe una Binti mwenye miaka 12? Je! ungependa naye aolewe mke wa tatu na libabu lenye wajukuu wakubwa kuliko Binti yako au asome?
Kuliko kuishia mtaani na kujiuza bora aolewe lakini kama ametulia shuleni asome tu
 
Kwahiyo kelele zote hizi ni mnataka tuone ni sawa kuoa watoto?

Nimesikitika sana kusikia wanaume na watu wazima wanakaa na kuja na maoni eti ni sawa mtoto wa miaka 14 aolewe.

Na wewe mleta uzi unaleta hadithi za Na' arah hapa ili kuhalalisha ujinga?

Taifa limejaa watu wa hovyo na wajinga wajinga hili.
Ukili kisoda si ajabu bibi yako aliolewa akiwa na umri huo
 
Wapi ukristo umekataza? Ni ustaarabu tu kwa kuwa wakristo ni wasomi. Hata baadhi ya waislam wanaojitambua hawakubali huo ujinga.

By the nyie mmezidi tukiwaachia mnaweza kuoa hata mimba, kama mudi alioa mtoto wa miaka 9 mtashindwaje kuona mtoto wa miaka 14 anafaa kufanywa mama.
Kipi bora miaka 14 ajiuze mitaani au aolewe?
 
Mimi kama Mtanzania ambaye najua kwamba Serikali haina Dini; hizo Imani zetu ziishie kwenye mahekalu na Makanisa..., Kwa karne hii ambayo mwanamke sio mama wa nyumbani anayehitaji career na kufuata ndoto zake unachosema ni kuendekeza utumwa.., Yaani Kuifanya nusu ya Wanajamii kama watumishi / Miliki ya Nusu nyingine....

Na hizo ni zama za kale...
 
Wee uliyeleta hili andiko mwanao akiolewa na miaka 12, 14 utafurahi? Dunia imebadilika Kuna mambo mengi ya kumuendeleza binadamu, binadamu wa miaka 2000 iliyopita wakati wa Yesu, hakukuwa na mbadala, hivi Sasa fursa zipo wakati anasoma anakua. Badae malalamiko yanakuja kundi x linaajiriwa zaidi kuliko kundi y wakati kundi y watoto waliozeshwa. Tena utakuta hta kijana wa miaka 15, kaoa!
 
Ni ujinga tu na uwendawazimu

Hakuna kipindi ambacho mtoto wa kike huwa anavutia kama akiwa na miaka 14-18 hii ni nature ili wanaume wabebe chombo waweke ndani

nDo maana kwasasa kuolewa ni ngumu maana muda wa mvuto unakuwa umeshaisha
 
Ukili kisoda si ajabu bibi yako aliolewa akiwa na umri huo
Halafu tukiwaita wapumbavu mnalalamika, nendeni shule mkasome na pelekeni watoto wenu shule wasome.

Kama bibi yangu aliolewa na umri huo ni miaka ya zamani huko 1916, mazingira ya kipindi hicho hayawezi kufanana na mazingira ya sasa. Nyie tatizo lenu kubwa ni kukosa elimu. Huwezi kufananisha mazingira ya 1916 na haya ya 2023, acheni upumbavu.

Wabakaji mnataka muendelee kuhalalishiwa ubakaji wenu.
 
Tatizo la wakiristo ni kupenda kujitoa akili kitu kiko wazi lakini wanapinga mfano watoto walio mitaani wanaojiuza siku hizi ni kuanzia miaka 12 na kuendelea

Wanafunzi walio pigwa mimba na kuludi shuleni nahao hao miaka 12,14 ,15 hii ali wakiristo wanaona wengine wanatoto usiku wanaluka ukuta wanaludi asubuhi heti bado watoto wakiristo kitendo chenu cha kujitoa akili ndicho kina sababisha wakini gawajima lusekelo mnaguzwa ngazi wenzenu wanatajirika kwa sababu ya utahila wenu
Umeona umeandika Mambo mengi ata like moja haujapata kutoka kwa jama zako inamanisha umeandika ujinga mzee jitafakari.
 
Back
Top Bottom