Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Hiyo hadithi hua najilazimisha tu kuielewa kwa sababu za kiimani ila kiukweli hua haiingii akilini kabisa! Basi tu!

hua nawaza huenda joseph alicheza faulo fulani ila kulingana na taratibu na tamaduni za kipindi hicho ikabidi wafanye fojifoji nangai ile kukwepa aibu, fedheha na adhabu za kipindi hicho
 
Tujiulize hili swali kwa tafakuri kuu...je Mwanamwali wa miaka 12 wa Karne ya kwanza ataweza kuwa sawa na Mwanamwali wa Karne hii kimaumbile? Kwa vyakula vyetu hivi vya siku hizi?
Tukisha pata jibu ndio tuangalie kama Bwana 25000q ataweza uzeshwa mtoto wa jirani yake mwenye miaka 13.
 
Waache waendelee kutoa mimba mpaka watakapomaliza chuo kikuu, huku umri wa kuzaa ukiwa umewapita.
Vijijini mabinti wakimaliza shule la7 wanazaa maisha yanaendelea. Wanawake waliosoma ni wamana wente stress sana.

Wazu gu wanaruhudu mabinti zao kuwa na boy friend huku waafrija wakitunga masheria dhidi ya mabinti. Binti wansishia kutoa mimba kisa shule. Wazazi wamefurahua tabua za mabinti zao kutoa mimba ili wamalize shule.
 
Unafikiria ninavyofikiria
 
Ukibahatika kupata binti wa kuoa akiwa na miaka 12 oa, nasema ukibahatika siyo ukibaka. Umri huo wanaupendo mkubwa kwa waume kuliko hawa graduate wa miaka 32 ambao zaidi wanaangalia pesa tu.
 
Hatuwezi kuishie kwenye mkwamo WA history kwa hiyo Kila kitu kilichokua kinafanyika miaka 2000 iliyopita ni sahihi kwa Sasa? Watu wenye mawazo mgando kama wewe ndio mnakuaga wabakaji maana ulishahalalisha kwenye akilo yako bila hata kutumia common sense.

Ni hatari sana kuwa na jitu Zima linalotamani ki date vitoto kosa mtume wake kadate na mtoto
 
You made my day 😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wa siku huzi nfio wakubwa kimsumbile jwa sababu ys balanced diet kulinganisha na zamani.
Halafu miaka 12 ni kianzio kuna wa miaka 17 eti usimioe bila sababu za msingi

Mabinti walioshindwa shule waolewe tu wachapwe mimba na wanaosoma sheria iwahusu.
Sheria ya binti wa miaka 15 kuolewa haitafutwa na haitatokea ifutwe.
 
Zamani watu walikua na maumbo makubwa mkuu...
 
Wakristo!(nani huyo kapinga hili kwamba ni mkristo?)

Waisrael blah! blah!(Kwahiyo nyie ni waisrael sio?)

Ndoa ni nini?(Kiumbe mwenye miaka 15 kwenu anatambulikaje: mtoto,binti(kama wa kike) ,msichana,mama au mwanamke?)

Kama sheria za dini ya kiislamu zinaruhusu acha wafanye inavyoeleza(Lakini sijui kama watakuwa wamezingatia nyakati)

Hakuna mkristo anayepinga au kumpangia mtu wa dini nyingine cha kufanya.Watu wametoa mitazamo yao hawako guided na principles za christianity.Kwahiyo hii hoja ilete kivingine ndugu

Kingine huyo Mariam unayesema alizaa akiwa na miaka 12 umetoa wapi wewe?

Marriage is the social contract.It is the society that determines who marries who and on what conditions.Marriage in a religious context is more complex that you can't understand based on your reasoning.
 
 Kam
Kama reference yako ni bible, hebu tuambie, je ile busara aliyoitumia kujibizana na Malaika Gabriel ni ya mtoto wa 12 years kweli? Kwa sasa si ajabu hata binti wa 20 years akakosa ile busara. Itoshe tu kusema kuwa, hatujui ni katika umri gani aliolewa, lakini tukubaliane kuwa alishakomaa kimwili na kiakili
 
ni sisi waafrika wengi hatujui tulikotoka kwa sababu hatutunzi historia za utamaduni wetu.

kwa waisrael walitunza historia yao walikotoka kwenye vitabu, kwa utamaduni wao ilikuwa kwamba binti akifikia miaka 12 huyo tayari anaweza kuposwa na anapofikia miaka 12 na nusu ni rasmi anakuwa mke wa mwanaume.

chini ya umri huo walioweza kuoa ni hgh priests ama wafalme tu akiwemo Daudi ambae pindi akiwa uzeeni aliweza kuoa msichana ambae bado hajafikia umri wa miaka 12.

נַעֲרָה ni NA’ARAH na ilitumika kuonyesha kwamba binti alieolewa na mfalme daudi hakufikia miaka 12 ...1 wafalme 1 : 1 & 2

 
Ukibahatika kupata binti wa kuoa akiwa na miaka 12 oa, nasema ukibahatika siyo ukibaka. Umri huo wanaupendo mkubwa kwa waume kuliko hawa graduate wa miaka 32 ambao zaidi wanaangalia pesa tu.
Graduate miaka 32 ni elimu gani hiyo, mimi niligraduate nikiwa 23 and i got marriwd righ away

Huyo binti wa miaka 12 unaetaka kumuoa hivi anajua hata maana ya upendo jamani

Mkuu wewe una watoto? Tuanzie hapo kwanza
 
Ukibahatika kupata binti wa kuoa akiwa na miaka 12 oa, nasema ukibahatika siyo ukibaka. Umri huo wanaupendo mkubwa kwa waume kuliko hawa graduate wa miaka 32 ambao zaidi wanaangalia pesa tu.
Hauko sawa kichwan ww
 
Ukisikia ushikwapo shikamana ndio hii sasa...[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…