TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Hiyo hadithi hua najilazimisha tu kuielewa kwa sababu za kiimani ila kiukweli hua haiingii akilini kabisa! Basi tu!
hua nawaza huenda joseph alicheza faulo fulani ila kulingana na taratibu na tamaduni za kipindi hicho ikabidi wafanye fojifoji nangai ile kukwepa aibu, fedheha na adhabu za kipindi hicho