Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Unaishi wapi huko ambako 12 yrs wanajiuza?
Huku kwingine 12 yrs wako busy na H/work na katuni.

Ila sio ajabu 12 yrs mwenye baba wa akil zako akatoa mimba na kujiuza.
 
Kwa jinsi tu kiswahili kinakupa shida kuandika inaonesha hata std7 hujafika ndo mana unadhan ni rahisi mtoto 14 yrs anaweza akaolewa na kuendelea kusoma.

Btw...Hivi uko serious kweli au unatania ili uchefue tu watu?
 
Hauko sawa kichwan ww
Mtoto akivunja ungo tu inatakiwa aandaliwe kwa maisha ya ndoa. Hiyo elimu ya sexuality wanayotaka ifundishwe kuanzia chekechea elimu hiyo wazee wetu waliitoa kwa rika lengwa. Sisi tunapangiwa namna ya kuwaharibu watoto wetu
 
Duuu, great thinker!
 
Enzi za mitume miaka 12 ni mtu mzima kabisa lakini sio sasa
 
Kaka inabidi urudi darasani kwa huu mwandiko
 
Wakati tunaongelea mambo ya miaka ya nyuma zaidi ya 1,400 kwa wakati wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam, na zaidi ya miaka 2,000 Kwa Yesu Alayhi salaam na au mama'ke Bi Maryam Alayha salaam, inabidi tufate mila, desturi, sheria na kanuni za wakati huo.

Tusijidanganye kutaka kuchanganua na kuhukumu maisha ya miaka 1,000 au 2,000 nyuma kwa kutumia mila, desturi na namna ya maisha ya leo.

Kwa kuanzia tusiende mbali kote huko, tuanzie hapa kwetu tu, tujiulize je, kuna mila, desturi na kanuni za jadi zinazowaoza watu kuanzia wadogo sana au hakuna?
 
Kuna bwana mmoja nadhani record yake haijavunjwa mpaka sasa yeye alikatwaa kabinti ka miaka 9 kawe ka mke kake wakati huo yeye akiwa na 50 na kadhaa.Leo hii ukiongelea miaka 9 ni katoto ka STD 3 pale usengele primary
Lini, mwaka gani?
 
Wewe mwanao wa miaka 12 nikija mimi na miaka yangu 49 nataka nimuoe unakubali?

Kwa bahati mbaya kwako sina, AlhamduliLlah wanangu wote ni watu wazima wameshaolewa na wengine wana vijukuu, ambavyo kwangu ni vitukuu.

Kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu umri wa kuoana kwa sasa?
 
Angekuwepo ungefanya hivyo?
Kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu umri wa kuoana kwa sasa?

Ningefata sheria za nchi, Uislam unanifundisha na kunihimiza nitii sheria za nchi kama hazinitowi kwenye Uislaam wangu.
 
Kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu umri wa kuoana kwa sasa?

Ningefata sheria za nchi, Uislam unanifundisha na kunihimiza nitii sheria za nchi kama hazinitowi kwenye Uislaam wangu.
Kwahiyo kwenye point ya msichana kuolewa kati ya uislamu na serikali hauoni kama zimepishana?
 
Kwahiyo kwenye point ya msichana kuolewa kati ya uislamu na serikali hauoni kama zimepishana?
Raha ya mjadala, kwanza nijibu swali nililokuuliza au umelisahau? Nnalirudia...

Kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu umri wa kuoana kwa sasa?
 
Raha ya mjadala, kwanza nijibu swali nililokuuliza au umelisahau? Nnalirudia...

Kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu umri wa kuoana kwa sasa?
Sheria za nchi zinaeleza moja kwa moja kuwa mwanamke aolewe akishafikisha miaka 18
 
NIKUSHAURI TU KIJANA.

USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO.

MUNGU WA MKRISTO SI MUNGU WA ALLAH.

MUOGOPE SANA MUNGU WA PEKEE WA KWELI NA YESU KRISTU ALIYEMTUMA.
 
ila tuzungumzie uhalisia hivi ni sahihi kwa msichana alievunja ungo akiwa na miaka 12 aolewe?
Kwani sheria ya nchi imeruhusu? Uhalisia ni kufata sheria.

Kibaiolojia mwanamke akisha vunja ungo anaweza kuhimili tendo la ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…