Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
Unaishi wapi huko ambako 12 yrs wanajiuza?Tatizo la wakiristo ni kupenda kujitoa akili kitu kiko wazi lakini wanapinga mfano watoto walio mitaani wanaojiuza siku hizi ni kuanzia miaka 12 na kuendelea
Wanafunzi walio pigwa mimba na kuludi shuleni nahao hao miaka 12,14 ,15 hii ali wakiristo wanaona wengine wanatoto usiku wanaluka ukuta wanaludi asubuhi heti bado watoto wakiristo kitendo chenu cha kujitoa akili ndicho kina sababisha wakini gawajima lusekelo mnaguzwa ngazi wenzenu wanatajirika kwa sababu ya utahila wenu
Huku kwingine 12 yrs wako busy na H/work na katuni.
Ila sio ajabu 12 yrs mwenye baba wa akil zako akatoa mimba na kujiuza.