Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Kwani sheria ya nchi imeruhusu? Uhalisia ni kufata sheria.

Kibaiolojia mwanamke akisha vunja ungo anaweza kuhimili tendo la ndoa.
Wakati watoto wako wa kike wapo na umri huo halafu angetokea mwanaume anataka kumuoa wewe kama mzazi ungekubali?
 
Shame on you,kwani zaman hamna walio kuwa wanajiuza?kama una mtoto wa kike akifika Miaka 12 muozeshe fasta kama huna subiri ukipata ndo upange ndoa yake,Wacha wengine tujitoe ufahamu kwa kuendelea kulea watoto wetu hata kama ataruka ukuta mara elfu.
 
Kama tuna mtu anaweza kuandika sentensi mbili kwa ufasaha na anafikiria ndoa za watoto wa miaka 15 hii nchi bado haijajikomboa kwenye fikra.

Lakini pia kitu ambacho wengi hawajui, usifanishe miaka ya kwenye maandiko ya dini na haya maisha yetu.

Kuna manabii waliishi miaka 300 mpaka 900, unaweza kuyafikiria haya kwa maisha ya sasa?

Je, una ushahidi gani miaka 12 ya kwenye maandiko ni Sawa na miaka 12 ya mtoto yuko huku Nanjilinji ambae ungo anavunja akiwa na miaka 16-18?
 
Hahahaaaa,binti 12yrs ila anayeoa 40 yrs and above,kama mnataka waachieni vibinti violewe na vijana wenzao nyie wazee muoe wajane
 
Numbers 31:17-18

17 Now therefore kill every male among the little ones, and kill every woman that hath known man by lying with him.

18 But all the women children, that have not known a man by lying with him, keep alive for yourselves.

Keywords
1. Male among the little ones
2. Women childrens

Naombeni maelezio zaidi ndugu zangu
 
Kwanza zama za kina maria hakuna mtu aliyeishi miaka 300 mpaka 900 ushahidi hata wa kimaandiko upo.

N.b
screenshot ni katika softcopy ya sheria ya ndoa nchini tanzania .

Kilichonifanya ni comment si kwamba na support any side ya nyie watu ila ni UNAFIKI ULIOJAA kwenye comments zenu , hebu siku nyengine mkiwa mna discuss mambo muwe mnaweka na ushahidi hata wa picha si kuropoka na kuficha unafiki .

 
Graduate miaka 32 ni elimu gani hiyo, mimi niligraduate nikiwa 23 and i got marriwd righ away

Huyo binti wa miaka 12 unaetaka kumuoa hivi anajua hata maana ya upendo jamani

Mkuu wewe una watoto? Tuanzie hapo kwanza
Achana nao wehu hao jamaa wanaabudu zinaa kuliko chochote. Wao hakuna wanachojua duniani zaidi ya zinaa na kuwafanya wanawake kama chombo duni na cha starehe. Miaka 12 kwa kizazi hiki hata maziwa hana jamaa anataka amuoe akambake ndani. Mungu atusaidie kwa kweli. Katika kitu ninachomuomba Mungu ni uzima ili nione wanangu wakue na wajitambue ili Baba yao niwalinde maana hii dunia ina mabaradhuri wengi sana.

Hiki wanachoking'ang'ania ndio wafanyacho watoto wa watu kwenye madrassa. Hii dini ni ya hovyo sana.
 
1 Wafalme 1:2-3
[2]Kwa hiyo watumishi wake wakamwambia, Bwana wangu mfalme na atafutiwe kijana mwanamwali; naye asimame mbele ya mfalme, amtunze; alale kifuani mwako, ili bwana wangu mfalme apate moto.

[3]Basi wakatafuta kijana mzuri mipakani mwote mwa Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.


Kwani mwanamwali wanaanzia umri Gani!!?
 
Hiyo ya miaka 14 ni sheria ya Tanzania iliyopo au ilibadilishwa?
Mahakama imeshatangaza hicho kifungu ni batili, tunashangaa kuona kuna watu wazima na wenye watoto wanaona ni sawa mtoto kuolewa.
 
Hiyo sheria ya ndoa unamuhusu nani?
 
Wewe elimu yako imekusadia nini na watu wanao kuzunguka?si ndio nyiyi mnaojiuza vioni nyiyi elimu gani ulionayo inayo kufanya kuwa mjinga kiasi hiki?sheria ya ndoa ilitungwa mahakamani leo unawaona waisimu mbumbumbu akili yako kisoda
 
Tofaoti yao nini kama wote wanabeba mimba wakiwa na miaka 12 13 14
 
Wewe elimu yako imekusadia nini na watu wanao kuzunguka?si ndio nyiyi mnaojiuza vioni nyiyi elimu gani ulionayo inayo kufanya kuwa mjinga kiasi hiki?sheria ya ndoa ilitungwa mahakamani leo unawaona waisimu mbumbumbu akili yako kisoda
Wewe elimu yako imekusadia nini na watu wanao kuzunguka?si ndio nyiyi mnaojiuza vioni nyiyi elimu gani ulionayo inayo kufanya kuwa mjinga kiasi hiki?sheria ya ndoa ilitungwa mahakamani leo unawaona waisimu mbumbumbu akili yako kisoda
Nimefundisha kwa muda mrefu sana lakini nadhani ujinga wako ni mkubwa kuliko uwezo wangu wa kufundisha. Siku njema!
 
Ila kati ya hizi dini kuna upande una base sana kwenye ngono yaani hata mafundisho yao wanahubiri mikazo tu sasa sijui huko mbinguni itakuwaje.
 
Akili yako kubwa mchungaji
 
Akili yako mzuli sana,tatizo sisi waafrika akili zetu za kushikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…