Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Kwani sheria ya nchi imeruhusu? Uhalisia ni kufata sheria.

Kibaiolojia mwanamke akisha vunja ungo anaweza kuhimili tendo la ndoa.
Wakati watoto wako wa kike wapo na umri huo halafu angetokea mwanaume anataka kumuoa wewe kama mzazi ungekubali?
 
Tatizo la wakiristo ni kupenda kujitoa akili kitu kiko wazi lakini wanapinga mfano watoto walio mitaani wanaojiuza siku hizi ni kuanzia miaka 12 na kuendelea

Wanafunzi walio pigwa mimba na kuludi shuleni nahao hao miaka 12,14 ,15 hii ali wakiristo wanaona wengine wanatoto usiku wanaluka ukuta wanaludi asubuhi heti bado watoto wakiristo kitendo chenu cha kujitoa akili ndicho kina sababisha wakini gawajima lusekelo mnaguzwa ngazi wenzenu wanatajirika kwa sababu ya utahila wenu
Shame on you,kwani zaman hamna walio kuwa wanajiuza?kama una mtoto wa kike akifika Miaka 12 muozeshe fasta kama huna subiri ukipata ndo upange ndoa yake,Wacha wengine tujitoe ufahamu kwa kuendelea kulea watoto wetu hata kama ataruka ukuta mara elfu.
 
Kama tuna mtu anaweza kuandika sentensi mbili kwa ufasaha na anafikiria ndoa za watoto wa miaka 15 hii nchi bado haijajikomboa kwenye fikra.

Lakini pia kitu ambacho wengi hawajui, usifanishe miaka ya kwenye maandiko ya dini na haya maisha yetu.

Kuna manabii waliishi miaka 300 mpaka 900, unaweza kuyafikiria haya kwa maisha ya sasa?

Je, una ushahidi gani miaka 12 ya kwenye maandiko ni Sawa na miaka 12 ya mtoto yuko huku Nanjilinji ambae ungo anavunja akiwa na miaka 16-18?
 
Hahahaaaa,binti 12yrs ila anayeoa 40 yrs and above,kama mnataka waachieni vibinti violewe na vijana wenzao nyie wazee muoe wajane
 
Numbers 31:17-18

17 Now therefore kill every male among the little ones, and kill every woman that hath known man by lying with him.

18 But all the women children, that have not known a man by lying with him, keep alive for yourselves.

Keywords
1. Male among the little ones
2. Women childrens

Naombeni maelezio zaidi ndugu zangu
 
Kama tuna mtu anaweza kuandika sentensi mbili kwa ufasaha na anafikiria ndoa za watoto wa miaka 15 hii nchi bado haijajikomboa kwenye fikra.

Lakini pia kitu ambacho wengi hawajui, usifanishe miaka ya kwenye maandiko ya dini na haya maisha yetu.

Kuna manabii waliishi miaka 300 mpaka 900, unaweza kuyafikiria haya kwa maisha ya sasa?

Je, una ushahidi gani miaka 12 ya kwenye maandiko ni Sawa na miaka 12 ya mtoto yuko huku Nanjilinji ambae ungo anavunja akiwa na miaka 16-18?
Kwanza zama za kina maria hakuna mtu aliyeishi miaka 300 mpaka 900 ushahidi hata wa kimaandiko upo.

N.b
screenshot ni katika softcopy ya sheria ya ndoa nchini tanzania .

Kilichonifanya ni comment si kwamba na support any side ya nyie watu ila ni UNAFIKI ULIOJAA kwenye comments zenu , hebu siku nyengine mkiwa mna discuss mambo muwe mnaweka na ushahidi hata wa picha si kuropoka na kuficha unafiki .

Screenshot_20230327-064140.png
 
Graduate miaka 32 ni elimu gani hiyo, mimi niligraduate nikiwa 23 and i got marriwd righ away

Huyo binti wa miaka 12 unaetaka kumuoa hivi anajua hata maana ya upendo jamani

Mkuu wewe una watoto? Tuanzie hapo kwanza
Achana nao wehu hao jamaa wanaabudu zinaa kuliko chochote. Wao hakuna wanachojua duniani zaidi ya zinaa na kuwafanya wanawake kama chombo duni na cha starehe. Miaka 12 kwa kizazi hiki hata maziwa hana jamaa anataka amuoe akambake ndani. Mungu atusaidie kwa kweli. Katika kitu ninachomuomba Mungu ni uzima ili nione wanangu wakue na wajitambue ili Baba yao niwalinde maana hii dunia ina mabaradhuri wengi sana.

Hiki wanachoking'ang'ania ndio wafanyacho watoto wa watu kwenye madrassa. Hii dini ni ya hovyo sana.
 
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu

NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia miaka 12, walioruhusiwa kuoa hawa mabinti ni maaskofu wenye veo vya juu (high priests) na baadhi ya viongozi akiwemo mfalme daudi. 1 wafalme 1: 2-3 binti bikra alieletewa mfalme daudi alikuwa yupo hatua hii katika maandiko ya kiyahudi.

View attachment 2565239

bogeret - huyu alikuwa rasmi ni binti kwa kufikia miaka 12, akiwa kafika miaka hii anaweza kuposwa akiwa bado nyumbani kwao ila baada ya miezi sita anapofikia miaka 12 na nusu anahamia rasmi kwa mwanaume.

Hivyo mama yake Yesu Mariam aliolewa kwa utamaduni wa waisrael akiwa na miaka 12, pia ni wakati wa umri huo ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu, Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
1 Wafalme 1:2-3
[2]Kwa hiyo watumishi wake wakamwambia, Bwana wangu mfalme na atafutiwe kijana mwanamwali; naye asimame mbele ya mfalme, amtunze; alale kifuani mwako, ili bwana wangu mfalme apate moto.

[3]Basi wakatafuta kijana mzuri mipakani mwote mwa Israeli, wakamwona Abishagi, Mshunami, wakamleta kwa mfalme.


Kwani mwanamwali wanaanzia umri Gani!!?
 
Hiyo ya miaka 14 ni sheria ya Tanzania iliyopo au ilibadilishwa?
Mahakama imeshatangaza hicho kifungu ni batili, tunashangaa kuona kuna watu wazima na wenye watoto wanaona ni sawa mtoto kuolewa.
 
Mimi kama Mtanzania ambaye najua kwamba Serikali haina Dini; hizo Imani zetu ziishie kwenye mahekalu na Makanisa..., Kwa karne hii ambayo mwanamke sio mama wa nyumbani anayehitaji career na kufuata ndoto zake unachosema ni kuendekeza utumwa.., Yaani Kuifanya nusu ya Wanajamii kama watumishi / Miliki ya Nusu nyingine....

Na hizo ni zama za kale...
Hiyo sheria ya ndoa unamuhusu nani?
 
Halafu tukiwaita wapumbavu mnalalamika, nendeni shule mkasome na pelekeni watoto wenu shule wasome.

Kama bibi yangu aliolewa na umri huo ni miaka ya zamani huko 1916, mazingira ya kipindi hicho hayawezi kufanana na mazingira ya sasa. Nyie tatizo lenu kubwa ni kukosa elimu. Huwezi kufananisha mazingira ya 1916 na haya ya 2023, acheni upumbavu.

Wabakaji mnataka muendelee kuhalalishiwa ubakaji wenu.
Wewe elimu yako imekusadia nini na watu wanao kuzunguka?si ndio nyiyi mnaojiuza vioni nyiyi elimu gani ulionayo inayo kufanya kuwa mjinga kiasi hiki?sheria ya ndoa ilitungwa mahakamani leo unawaona waisimu mbumbumbu akili yako kisoda
 
Tujiulize hili swali kwa tafakuri kuu...je Mwanamwali wa miaka 12 wa Karne ya kwanza ataweza kuwa sawa na Mwanamwali wa Karne hii kimaumbile? Kwa vyakula vyetu hivi vya siku hizi?
Tukisha pata jibu ndio tuangalie kama Bwana 25000q ataweza uzeshwa mtoto wa jirani yake mwenye miaka 13.
Tofaoti yao nini kama wote wanabeba mimba wakiwa na miaka 12 13 14
 
Wewe elimu yako imekusadia nini na watu wanao kuzunguka?si ndio nyiyi mnaojiuza vioni nyiyi elimu gani ulionayo inayo kufanya kuwa mjinga kiasi hiki?sheria ya ndoa ilitungwa mahakamani leo unawaona waisimu mbumbumbu akili yako kisoda
Wewe elimu yako imekusadia nini na watu wanao kuzunguka?si ndio nyiyi mnaojiuza vioni nyiyi elimu gani ulionayo inayo kufanya kuwa mjinga kiasi hiki?sheria ya ndoa ilitungwa mahakamani leo unawaona waisimu mbumbumbu akili yako kisoda
Nimefundisha kwa muda mrefu sana lakini nadhani ujinga wako ni mkubwa kuliko uwezo wangu wa kufundisha. Siku njema!
 
Ila kati ya hizi dini kuna upande una base sana kwenye ngono yaani hata mafundisho yao wanahubiri mikazo tu sasa sijui huko mbinguni itakuwaje.
 
Wakristo!(nani huyo kapinga hili kwamba ni mkristo?)

Waisrael blah! blah!(Kwahiyo nyie ni waisrael sio?)

Ndoa ni nini?(Kiumbe mwenye miaka 15 kwenu anatambulikaje: mtoto,binti(kama wa kike) ,msichana,mama au mwanamke?)

Kama sheria za dini ya kiislamu zinaruhusu acha wafanye inavyoeleza(Lakini sijui kama watakuwa wamezingatia nyakati)

Hakuna mkristo anayepinga au kumpangia mtu wa dini nyingine cha kufanya.Watu wametoa mitazamo yao hawako guided na principles za christianity.Kwahiyo hii hoja ilete kivingine ndugu

Kingine huyo Mariam unayesema alizaa akiwa na miaka 12 umetoa wapi wewe?

Marriage is the social contract.It is the society that determines who marries who and on what conditions.Marriage in a religious context is more complex that you can't understand based on your reasoning.
Akili yako kubwa mchungaji
 
ni sisi waafrika wengi hatujui tulikotoka kwa sababu hatutunzi historia za utamaduni wetu.

kwa waisrael walitunza historia yao walikotoka kwenye vitabu, kwa utamaduni wao ilikuwa kwamba binti akifikia miaka 12 huyo tayari anaweza kuposwa na anapofikia miaka 12 na nusu ni rasmi anakuwa mke wa mwanaume.

chini ya umri huo walioweza kuoa ni hgh priests ama wafalme tu akiwemo Daudi ambae pindi akiwa uzeeni aliweza kuoa msichana ambae bado hajafikia umri wa miaka 12.

נַעֲרָה ni NA’ARAH na ilitumika kuonyesha kwamba binti alieolewa na mfalme daudi hakufikia miaka 12 ...1 wafalme 1 : 1 & 2

View attachment 2565237
Akili yako mzuli sana,tatizo sisi waafrika akili zetu za kushikiwa
 
Back
Top Bottom