Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Graduate miaka 32 ni elimu gani hiyo, mimi niligraduate nikiwa 23 and i got marriwd righ away

Huyo binti wa miaka 12 unaetaka kumuoa hivi anajua hata maana ya upendo jamani

Mkuu wewe una watoto? Tuanzie hapo kwanza
Miaka 23 mbona mzee tu,tatizo sio kuoa je mtoto miaka 12 13 14 afaa kuolewa?
 
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu

NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia miaka 12, walioruhusiwa kuoa hawa mabinti ni maaskofu wenye veo vya juu (high priests) na baadhi ya viongozi akiwemo mfalme daudi. 1 wafalme 1: 2-3 binti bikra alieletewa mfalme daudi alikuwa yupo hatua hii katika maandiko ya kiyahudi.

View attachment 2565239

bogeret - huyu alikuwa rasmi ni binti kwa kufikia miaka 12, akiwa kafika miaka hii anaweza kuposwa akiwa bado nyumbani kwao ila baada ya miezi sita anapofikia miaka 12 na nusu anahamia rasmi kwa mwanaume.

Hivyo mama yake Yesu Mariam aliolewa kwa utamaduni wa waisrael akiwa na miaka 12, pia ni wakati wa umri huo ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu, Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Wazinz bana. Wanatafuta vijisababu vidogo vidogo kama wale jamaa wa LGBTQ
 
 Kam

Kama reference yako ni bible, hebu tuambie, je ile busara aliyoitumia kujibizana na Malaika Gabriel ni ya mtoto wa 12 years kweli? Kwa sasa si ajabu hata binti wa 20 years akakosa ile busara. Itoshe tu kusema kuwa, hatujui ni katika umri gani aliolewa, lakini tukubaliane kuwa alishakomaa kimwili na kiakili
Ata Mimi najiuliza mtoto wa miaka 12 anaweza kuongea na Malaika Kwa kujiamini vile ? Wakati Muhammad na miaka yake 50 plus alitoka nduki na kuweweseka
 
Miaka 23 mbona mzee tu,tatizo sio kuoa je mtoto miaka 12 13 14 afaa kuolewa?
Unasema mtoto alafu unauliza kama anafaa kuolewa , nyie ma pedophile inabidi tuweke Sheria tuwakate makende na sime
 
Hio ni misimamo ya mashirika na taasisi za kupambana na mambo fulani ya jinsia ndio wanapambania watoto wasiolewe wakiwa na umri mdogo ila hata sheria zinasema kuna ridhaa ya wazazi na mahakama ila bado 15 years kama anasoma aachwe atimize malengo yake ndoa zipo tu
 
Dunia ina maajabu hii wapo wenye 25yrs kwenye mitandao wanatafuta waunaume wa kuwaoa na wengine wanashinda kuombewa huko wahuni mpo busy watoto wa miaka 12 waolewe shida nini mnapata nini kwa watoto hao ambao hata mishipa mingi haijakomaa aisee wale Bakwata sijawahi waelewa wao husikii kuzungumzia maendeleo ya watoto wa kike wao ni kuolewa tuu na wasifanye kazi huku watoto wao wakiwasomesha...
 
Mtoto akivunja ungo tu inatakiwa aandaliwe kwa maisha ya ndoa. Hiyo elimu ya sexuality wanayotaka ifundishwe kuanzia chekechea elimu hiyo wazee wetu waliitoa kwa rika lengwa. Sisi tunapangiwa namna ya
Kwa hiyo ukaona utupie kaneno ka kizungu ili uonekane umeandika vya maana?
Wewe ni MWEHU
 
Kwa hiyo wewe umalaya wako uliopelekea ukaolewa ukiwa na miaka 12 unataka na watoto wetu waolewe wakiwa na umri huo..
 
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu

NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia miaka 12, walioruhusiwa kuoa hawa mabinti ni maaskofu wenye veo vya juu (high priests) na baadhi ya viongozi akiwemo mfalme daudi. 1 wafalme 1: 2-3 binti bikra alieletewa mfalme daudi alikuwa yupo hatua hii katika maandiko ya kiyahudi.

View attachment 2565239

bogeret - huyu alikuwa rasmi ni binti kwa kufikia miaka 12, akiwa kafika miaka hii anaweza kuposwa akiwa bado nyumbani kwao ila baada ya miezi sita anapofikia miaka 12 na nusu anahamia rasmi kwa mwanaume.

Hivyo mama yake Yesu Mariam aliolewa kwa utamaduni wa waisrael akiwa na miaka 12, pia ni wakati wa umri huo ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu, Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Mkristo au Wakristo ni akina nani haswa?
 
Kwa bahati mbaya kwako sina, AlhamduliLlah wanangu wote ni watu wazima wameshaolewa na wengine wana vijukuu, ambavyo kwangu ni vitukuu.

Kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu umri wa kuoana kwa sasa?
Uliwaozesha na miaka 12? Au wajukuu na vitukuu vyako kama ulivyosema unbariki waolewe umri huo?
 
Jibu liko kwenye nyakati.

Enzi hizo binti miaka 15 alikuwa home tu, ameshavunja ungo na hana cha kufanya, so mazingira yalimruhusu kuolewa, leo binti umri huo yuko shule; unataka sheria zifanane? Hatuwezi hamasisha mabinti wasome, muda huo tuwe na sheria za kuruhusu mabinti waolewe wakiwa watoto.
 
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu

NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia miaka 12, walioruhusiwa kuoa hawa mabinti ni maaskofu wenye veo vya juu (high priests) na baadhi ya viongozi akiwemo mfalme daudi. 1 wafalme 1: 2-3 binti bikra alieletewa mfalme daudi alikuwa yupo hatua hii katika maandiko ya kiyahudi.

View attachment 2565239

bogeret - huyu alikuwa rasmi ni binti kwa kufikia miaka 12, akiwa kafika miaka hii anaweza kuposwa akiwa bado nyumbani kwao ila baada ya miezi sita anapofikia miaka 12 na nusu anahamia rasmi kwa mwanaume.

Hivyo mama yake Yesu Mariam aliolewa kwa utamaduni wa waisrael akiwa na miaka 12, pia ni wakati wa umri huo ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu, Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Una maanisha binti akizidisha miaka 12 bikra inajitoa? au unamaanisha bikra ni umri wa chini ya miaka 13..?? Fafanuaa
 
Taratibu za wa israel kwa enzi za Yesu ilikuwa ni kwamba binti akibalehe tu anaolewa, mabinti ambao bado walikuwa bado hawajabalehe waliitwa NA’ARAH ambao walikuwa hawajafikia umri wa miaka 12, kuna exception chache mabinti wa chini ya miaka 12 waliolewa, Mifano ni mfalme Daudi
Sasa huoni hiyo ni kategory ya mkuu wa nchi? Joseph/Yusuf alikua mkuu wa nchi gani?
 
Uliwaozesha na miaka 12? Au wajukuu na vitukuu vyako kama ulivyosema unbariki waolewe umri huo?
Nafata sheria za nchi waliyokuwapo.

Uislam hauniruhusu kuvunja sheria za nchi mradi hazinitoi katika Uislam wangu.
 
Back
Top Bottom