Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

Taratibu za wa israel kwa enzi za Yesu ilikuwa ni kwamba binti akibalehe tu anaolewa, mabinti ambao bado walikuwa bado hawajabalehe waliitwa NA’ARAH ambao walikuwa hawajafikia umri wa miaka 12, kuna exception chache mabinti wa chini ya miaka 12 waliolewa, Mifano ni mfalme Daudi
Weka reference, ndio swali. Haya ni mawazo yako wala hayana msingi wa kimaandiko. Weka reference ya hoja yako.
 
Vitu vichanga vichanga sijui kwanin vinapendwa zaid hata kimagendo.
Hata nguruwe mchanga ndo ana soko.
Hata sangara mchanga ndo ana soko.
Kwa wahima, inapendwa nyama ya ng'ombe binti au ng'ombe mvulana.
Nadhan, ni ajira tu ndo ukubwa/uzoefu unapata thaman.
Sijui mi nikoje napenda vikubwa vikubwa
Tako kubwa, nyonyo kubwa, mguu mkubwa, paja kubwa, nanii kubwa!
gari kubwa, nyumba kubwa.
rushwa kubwa, dhambi kubwa,mradi/dili kubwa.
Kubwa! kubwa! kubwa!
Kuna bwana mmoja nadhani record yake haijavunjwa mpaka sasa yeye alikatwaa kabinti ka miaka 9 kawe ka mke kake wakati huo yeye akiwa na 50 na kadhaa.Leo hii ukiongelea miaka 9 ni katoto ka STD 3 pale usengele primary
 
Kwa mtazamo wangu kama mtoto anahitaji kuolewa aolewe ila kama bado anasoma tusimuharibie future yake kwa kukatisha masomo.

Wa kwangu nimeshamuelekeza madhara ya kutokua na elimu na ninamuhimiza kila siku asome mpka atakapoona inatosha na niko nyuma yake kutimiza malengo yake. Hawa watoto ukiwapa miongozo bora wanakua watu bora sana
 
Vitu vichanga vichanga sijui kwanin vinapendwa zaid hata kimagendo.
Hata nguruwe mchanga ndo ana soko.
Hata sangara mchanga ndo ana soko.
Kwa wahima, inapendwa nyama ya ng'ombe binti au ng'ombe mvulana.
Nadhan, ni ajira tu ndo ukubwa/uzoefu unapata thaman.
Sijui mi nikoje napenda vikubwa vikubwa
Tako kubwa, nyonyo kubwa, mguu mkubwa, paja kubwa, nanii kubwa!
gari kubwa, nyumba kubwa.
rushwa kubwa, dhambi kubwa,mradi/dili kubwa.
Kubwa! kubwa! kubwa!
Be straight bwana mdogo unafichaficha nini
 
imeshakuwa kawaida kuona wazi watu wakipiga kelele juu ya binti wa miaka 16 kuolewa ila wapo kimya wakiona mabinti hawa wanapoteza bikra kwa kuzini na kuviflash vichanga chooni.

binti huanza kuvunja ungo mapema zaidi kuzidi mwanaume, binti akiwa na miaka 10 huanza kuvunja ungo mpaka akiwa na miaka 13, kufikia miaka 15 huyo tayari kizazi kipo tayari, kwa wale mnaosema bado hajawa tayari niwajuze tu kwamba bibi zenu walianza kuzaa wakiwa na miaka 14.

Na hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa na akaolewa akiwa na miaka 14 ama 15 maana huu ndio ilokuwa utamaduni wa kuoa huko Israel, mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa kisha kupewa mafunzo ya ndoa na wakiwa ratari wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.

Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
 
leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo.

Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu

NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia miaka 12, walioruhusiwa kuoa hawa mabinti ni maaskofu wenye veo vya juu (high priests) na baadhi ya viongozi akiwemo mfalme daudi. 1 wafalme 1: 2-3 binti bikra alieletewa mfalme daudi alikuwa yupo hatua hii katika maandiko ya kiyahudi.

View attachment 2565239

bogeret - huyu alikuwa rasmi ni binti kwa kufikia miaka 12, akiwa kafika miaka hii anaweza kuposwa akiwa bado nyumbani kwao ila baada ya miezi sita anapofikia miaka 12 na nusu anahamia rasmi kwa mwanaume.

Hivyo mama yake Yesu Mariam aliolewa kwa utamaduni wa waisrael akiwa na miaka 12, pia ni wakati wa umri huo ambao Jehova / Mungu aliridhia Mariam kuibeba Mimba ya Yesu, Ni wakati huo huo Mariam aliolewa.

Cha ajabu ni kipi kuruhusu mabinti wenye miaka 15 ambao mazingira yanaruhusu wasiolewe ??
Hoja yako ni nini? Nani kakwambia Mariam alikuwa mkiristo? Usichanganye mambo ya serikali na ukristo. Hakuna dhehebu lolote la kikiristo ambalo lilishaweka umri wa kuoa na kuolewa. Shida yako ni udini.
 
Taratibu za wa israel kwa enzi za Yesu ilikuwa ni kwamba binti akibalehe tu anaolewa, mabinti ambao bado walikuwa bado hawajabalehe waliitwa NA’ARAH ambao walikuwa hawajafikia umri wa miaka 12, kuna exception chache mabinti wa chini ya miaka 12 waliolewa, Mifano ni mfalme Daudi
Husijadili vitu husivyovijua. Mayaudi tangu lini wakawa wakristo. Mifano unayoitoa ya akina Daud, Mariam mama yake Yesu wote hawa hawakui kuwa Wakristo, walikuwa na dini yao ya Kiyaudi. Ukristo ulianza miaka 33 baada ya Yesu kuzaliwa. Hata hivyo, inaonekana unachanganya maamzi ya Serikali na dini.

Lakini fikiria, binti wa miaka 12 yuko darasa la 6 bado binti mdogo anaehitaji malezi, shule nakadharika. Msichukulie enzi za mtume wenu aliyekuwa anaoa vitoto vidogo.
 
Kuna bwana mmoja nadhani record yake haijavunjwa mpaka sasa yeye alikatwaa kabinti ka miaka 9 kawe ka mke kake wakati huo yeye akiwa na 50 na kadhaa.Leo hii ukiongelea miaka 9 ni katoto ka STD 3 pale usengele primary
Nilijua tu kuna pimbi mmoja atafika huku.
Hizi jamii za kale zilikuwa na taratibu zao kila mahali. Muhammad anasemwa sana kisa ni maarufu. Katika record zinasema alimchumbia ama tuseme kuoa akiwa na miaka 9 sahihi kabisa. Lakini alianza kuishi naye akiwa na miaka 13......hili huwa mnaambiwa?
Si kwamba alimchukua akiwa na miaka 9 hapo hapo.
 
Back
Top Bottom