Mariam Wangwe na Jukwaa la Wahariri

Status
Not open for further replies.
Na mwenyezi mwenye enzi kukabiliana na mafisadi na nzi wao ili kuihami nchi yetu. Kwa maneno mengine, nimejituma mwenyewe. Upo hapo Masatu bin Wasira?

Asha

Nimekusikia Asha Bint Mbowe!
 
Mbowe amekugusa eehhhhe. Niite upendavyo, sisi tuna haki ya kuitwa ubini wa kiumeni. Na wewe je, Masatu Bint Wasira, imekaaje?

Asha

Vijimambo tu bie mashkhof.... u can Call me Masatu Bin Wassira Ibn Warioba bin Marando Ibn Sarungi.......

Hakuna mushkila as long as ur happy Im happy...
 
Vijimambo tu bie mashkhof.... u can Call me Masatu Bin Wassira Ibn Warioba bin Marando Ibn Sarungi.......

Hakuna mushkila as long as ur happy Im happy...

Oooh cool. Masatu Binti Wassira. Go have rest now. Mafisadi watakuchosha. All the best


Asha
 
Wewe Urojo wa Zenj mbona unapindisha mada... Issue hapa ni Mariam Wangwe...

Kibunango mpenda mabungo, ndiyo miye origanali kama vipi twende http:ashawazenj.blogspot.com. Kwani huyo Mariam Wanga-kumradhi, Wangu kafanya nini?

Asha
 
Kibunango mpenda mabungo, ndiyo miye origanali kama vipi twende http:ashawazenj.blogspot.com. Kwani huyo Mariam Wanga-kumradhi, Wangu kafanya nini?

Asha
Soma hapa chini....


Habari ndo hiyo
 
....Dr. SLAA Hizi kauli za kutomtambua Huyu Bi. Mariam za Kweli....? Naona wanafamilia wanakuja juu...!!!

Majira

au Wadau mwasemaje?
 
Mbona hawajasema wajane?
Ama nimeelewa tofauti?
Kwani marehemu si alikuwa na bi mdogo na mkubwa...Hiyo makala hapo juu imemu ingore mke mkubwa na kumention "Mjane" badala ya "Wajane" Ama...Naomba ufafanuzi kwa mwenye insight.
 
Unakazi kubwa mazee.....hizi njaa zinakufanya ushindwe fikiria ...pole

Una kibarua kigumu mazee..... ukabila unawatafuna kama mchwa unashindwa kufikiria nje ya kabila lako.... so kha!
 
Una kibarua kigumu mazee..... ukabila unawatafuna kama mchwa unashindwa kufikiria nje ya kabila lako.... so kha!

Una maana ya "fitina ama zengwe la ukabila" linawatafuna kama mchwa? Hivi unadhani kuanguka kwa CHADEMA ni faida kwako na kizazi chako ama? Kaka CHADEMA yapaswa kulindwa kwa hali na mali kwa faida ya maendeleo ya demokrasia ya ushindani nchini mwetu na vilevile kupunguza nguvu za manyang'au kuligeuza taifa letu kuwa mafia-state kama ilivyo Kenya, Italia, Pakistan na kwengineko. Ama zaidi kutufikisha walipo Zimbabwe, Somalia na pengine kubaya zaidi ya huko.

Kama unadhani kutafunwa kwa CHADEMA kunaiumiza CHADEMA tu fikiria zaid maana kama wewe ni mmoja wa wale wenye ndoto ya kuwa CCM itabadilika kutoka ndani basi ujue kama CCM itashinda TARIME huo utakuwa ni mwisho wa ndoto zako. Ni wazi kuwa mafisadi na wapambe wao wataongeza nguvu ndani ya CCM na kuonyesha kuwa umafia na ufisadi unalipa na bado tegemeo kwa maslahi ya genge lenu.....

Kumbuka waweza kuwa unafaidika na kutafunwa kwa CHADEMA sasa lakini jiulize kuhus ndugu zako na vizazi vyko huko mbaleni....laana ya ufisadi ni lazima iwaangukie hivyo kuwa makini na ushabiki wako kaka....

Tanzanianjema
 
Katika kujenga heshima na utu wema katika jamii, kuna mambo ambayo hayapashwi kufanywa.Kuvunjiana heshima au kudhalilishana,hasa kama upande ule mwingine wa pili haujafanya jambo lolote la kutudhalisha sisi wenyewe au kututia aibu ni kati ya mambo hayo.Hii huepusha chuki katika jamii na mara nyingi hujenga misingi mizuri ya ushirikiano.Katika sakata hili la mama Maiam,mke wa marehemu Chacha Wangwe nimeona mabadilishano ya maneno ambayo hayajanifurahisha kabisa.Matamshi ya Dr.Slaa kwamba Mariam hakuwa mke halali wa Chacha, hayakupashwa kabisa kuzungumziwa hadharani,hata kama ni kweli.Kwa kufanya hivyo Dr.Slaa amemzalilisha marehemu Chacha Wangwe na mama Mariam.Hii kijamii si jambo la busara,hasa kwa vile Dr.Slaa ni mtu ambaye anaheshimika sana katika jamii.Ninacho mshauri Dr.Slaa, ni kwamba awe mwangalifu na matamshi ambayo yatamvunjia heshima.Masakata mengine yana mlenga yeye ili kummaliza kisiasa.Asipo angalia hila za mahasimu wake kisiasa zitafanikiwa.Kazi kwako Dr.Slaa.
 

Hivi jamani Dr Slaa si mkatoliki? Sasa mtamlazimishaje atambue ndoa ambayo haikufungwa kanisani? Ama kuna kitu sijakielewa nielimishwe....

Tanzanianjema
 
Hivi jamani Dr Slaa si mkatoliki? Sasa mtamlazimishaje atambue ndoa ambayo haikufungwa kanisani? Ama kuna kitu sijakielewa nielimishwe....

Tanzanianjema

Kwani marehemu Wangwe alikaa naye kwa muda gani? Maana sehemu nyingine kuna sheria ukiikaa na mwanamke kwa muda fulani ni mke wako, anyways kama alivyosema hapo juu, ni jinsi gani watu wanavyomuheshimu Mhe Dr. Slaa atakuwa anajishushia heshima kwa kuanza kuongelea mambo kama hayo ambayo yatakuwa distruction kwake. Hivyo ndivyo nilivyomuelewa mwandishi wa hii thread. Na imani ya Dr. Slaa sio lazima iingilie uamuzi wake wa kisiasa au jinsi ya kuongelea maisha ya watu.
 

mi sijaona kosa hapo wajameni, wote tunajua ndoa za kikristo ni mke mmoja kama amesema hivyo na ametamka sio mke halali sioni kosa angesema mariam alikuwa hawara ndo kidogo ningeshindwa kumuelewa,
huyo Dr Slaa inaonekana ni msafi kweli kweli yani hata akitafutiwa kashfa hazipatikani mpaka tunaanza kumjadili kwa vitu minor kama haka ka mada please yale ya PIus Msekwa na ishara wala hayaonekani wajameni
 
Naomba uweke maneno yake (Dr. Slaa) please!
 

Umetumwa nini?
Hebu soma hapa usikurupuke na wewe ....

Mke mwingine wa Wangwe aibuka kumpinga mke-mwenza mdogo

 



Tanzanianjema umesema maneno mazito sana mkuu .Mimi namjua Masatu ana uwezo mkubwa sana wa kuchambua na mamo Masatu anayajua si mbabaishaji sasa hili la leo la ushabiki bila ya kuangalie nje ya uwanja kuna kitu limenipa hofu sana sana.

Jamani ushabiki huu ni kwa sababu gani ? Kama mimi Lunyungu naweza kula na kulala vyema haina maana kwamba rest of Tanzanians are like me.Tuwaonee huruma.Fikeni hapa Tarime muone maisha ya watanzania wenzenu .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…