Dkt. Chakwera alitarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku nne kuanzia tarehe 18 hadi 21 Novemba, kwa ajili ya kuanzisha majadiliano jumuishi na wadau mbalimbali wa Tanzania.
Mwenye taarifa atupatie sisi wadau na wahanga wa maandamano, au walijifungia Royal Hotel Dodoma na kina Mafwele wakamalizana.
Mwenye taarifa atupatie sisi wadau na wahanga wa maandamano, au walijifungia Royal Hotel Dodoma na kina Mafwele wakamalizana.