Kaweka mpira kwapani. Watu wamechimbua CV Yake kapwayaChakwera hakufanikiwa kuongoza maridhiano yoyote je, amekimbia ?
Inaonekana hajakaribishwa bado na SamuyaChakwera hakufanikiwa kuongoza maridhiano yoyote je, amekimbia ?
HaijulikaniKwani alikuja??
Kwa hivyo kuteuliwa bila ya mawasiliano ?Yeye mwenyewe alisema kama atakua welcomed by Tanzania.
Sasa kama hawajamuinvite unataka ajilete kama wale waangalizi?