Aliamua kufuata huu ushauri na kufanyia kazi nyumbani kwakeLabla anafanyia kazi online
Hahaa maridhiano kwa video conference.Labla anafanyia kazi online
Kaingia mitini?Hizi nondo za CNN ni Nani awezaye kuwa mpatanishi?
Waandishi wapo bize kufatilia press za MASHEIKH ubwabwa...Ni kweli.
..Taarifa toka Sekretariat ya Jumuiya ya Madola inasema Mzee Lazarus Chakwera alipaswa kumaliza ziara yake ya siku tatu leo Nov 21.
..Waandishi wa Habari walitakiwa kufuatilia ziara ya Mzee Lazarus Chakwera.