Maridhiano ya Chakwera yamefikia wapi, siku 4 alizopewa zinaisha leo

Wanatuweka busy na kauli za vichaa ili tusifikirie mambo muhimu kuhusu kilichotokea na yanayoendelea.

Tanzania imekuwa nchi ya kufundishwa amani na Malawi? Hii ni aibu ambayo hawataki kuivaa.
 
Ndugu Dr Mheshimiwa Chakwera kaishia wapi na tume yake ya Commonwealth? Au kaogopa kichambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…