Gentleman,
maridhiano ni tendo la hiyari baina ya pande zinazolenga au zinazotegemea kufikia lengo fulani mahususi la pamoja.
ndio maana hata wewe na mwenzi wako, mlianza uchumba hatimae mkaridhiana na kujenga msingi imara kuelekea ndoa na kua na familia bora yenye furaha na amani.
Lakini mnaweza kufanya biashara na rafiki yako, lakini hatimae baada ya mambo kua safi, mkaamua kuridhiana kuanzisha kampuni kabisa n.k
So,
waTanzania wote katika umoja na mshikamano wao, wanaelekea kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa, yenye lengo moja tu, kujenga msingi imara kuelekea mchakato wa kupata katiba mpya bila mkwamo wowote, kama ilivyo wahi kutokea siku zingine huko nyuma. Full stop.
hayo ya sijui ya upatanisho wa pande mbili, tatu au nne, nadhani mkayafanye tu kibinafsi kwenye nyumba za ibada kila moja kwa imani yake kadiri alivyo mkosea Mungu na itapendeza zaidi 🐒