PostGE2025 Maridhiano ya Kitaifa: Ni baina ya nani na nani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe unaishi Tanzania hujui hata kilichotokea October 29 ukuona hata kuskia kwa watu kwenye redio za nje au Rais siku anazindua Bunge anasimamisha Bunge kwa dakika kadhaa kuwakumbuka marehemu ulikua una Umri gani? Wakati tume zinaindwa ulikua bado mdogo?
Mambo ya maridhiano yalikuwepo kabla ya tarehe 29! Hujajibu swali!
 
Wewe unaishi Tanzania hujui hata kilichotokea October 29 ukuona hata kuskia kwa watu kwenye redio za nje au Rais siku anazindua Bunge anasimamisha Bunge kwa dakika kadhaa kuwakumbuka marehemu ulikua una Umri gani? Wakati tume zinaindwa ulikua bado mdogo?
Sawa mkuu uko sawa lakini kuna jambo kama halipo sawa katika yote yaliotokea tarehe hizo ni kwanini mpaka muda huu waliehusika na kadhia zile hawajulikani?
 
😂😂😂😂😂😂 Wewe kweli chizi, so hapo awali misingi imara haikuwepo mpaka mtake kuijenga sasa? Tunaridhiana nini kama hatuna tofauti?
ndio gentleman,
ndio maana matapeli wa ukawa walikula posho tu na wakatikomea kusikojulikana. This time around, maridhiano ya hiyari ya kitaifa miongoni mwa waTanzania wote yanakwenda kuondoa kabisa tabia nonsense kama hizo 🐒
 
maridhiano hayo ni ya kujenga msingi imara wa kuepusha mkwamo wowote unaofanana na ule kutokea tena.

this time tunakwenda kwenye maridhiano yatakayoenda kuondoa kila aina ya changamoto kwanza kabla ya mchakato kuanza ili hatimae tukianza ni one way mpaka tunamaliza.

habari sijui ya jk sijui warioba, sijui CCM, sijui ukawa n.k sahau gentleman. Tunakwenda kutengeneza katiba mpya ya waTanzania wote 🐒
Sawa, wadau kina nani? Kama ni Katiba kweli tunahitaji maridhiano? Hayo maridhiano ni yapi na baina ya nani na nani?

Kutokuwa na mwongozo wa hayo maridhiano inakuwa vigumu wananchi kuelewa tunataka kuridhiana nini juu ya Katiba Mpya?

Isitoshe mbona rahisi sana kwa viongozi waseme wazi kwamba tunataka kufanya maridhiano kadhaa wa kadhaa na wadau hawa ambao wanakwamisha mchakato.

Yaani hakuna nia ya dhati, mimi naona sawa na mchakato wa kampuni ya Simba Club Miaka 10 ilopita mpaka leo haijulikani kinachokwamisha wala nani anakwamisha. Ni kamchezo fulani kuhadaa watu..
 
fuatilia komenti zangu za awali na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Nimekusoma muda wote lkn bado hujanipa jibu la moja kwa mojankama kwamba kuna vitu unaficha. Kama ni swala la Katiba Mpya maridhiano ya nini? Ya kwamba kuna kundi la watu wanaihitaji na wengine wanapinga? Kama ingekuwa makubaliano kabla ya mchakato hilo sawa, lakini maridhiano hii inanipa shida kuelewa (Makubaliano vs Maridhiano)

Je, haya maridhiano ni muendelezo wa yale alosema Polepole kuhusu vyama vya Upinzani vilitaka kuonana na rais Magufuli ili kujadili changamoto zao? Au ni zile alosema akiwa balozi baada ya Magufuli kuelekea Uchaguzi wa 2024! Maridhiano yalokwama baina ya rais Samia na Chadema?

Kama haya maridhiano yanahusu Vyama vya Siasa (Upinzani) kwa nini CCM isiwe wawazi kusema hivyo? Maana nawasikia wakisema haya sii maridhaino na Chadema wala sio lazima Tundu Lissu ahudhurie maana wadau ni Wananchi.

Nikiwa kama mwananchi nataka kujua tunataka kufanya maridhiano gani? Kuna nini kati hadi kwanza kuwepo maridhiano kabla ya mchakato wa Katiba.
 
Sawa, wadau kina nani? Kama ni Katiba kweli tunahitaji maridhiano? Hayo maridhiano ni yapi na baina ya nani na nani?

Kutokuwa na mwongozo wa hayo maridhiano inakuwa vigumu wananchi kuelewa tunataka kuridhiana nini juu ya Katiba Mpya?

Isitoshe mbona rahisi sana kwa viongozi waseme wazi kwamba tunataka kufanya maridhiano kadhaa wa kadhaa na wadau hawa ambao wanakwamisha mchakato.

Yaani hakuna nia ya dhati, mimi naona sawa na mchakato wa kampuni ya Simba Club Miaka 10 ilopita mpaka leo haijulikani kinachokwamisha wala nani anakwamisha. Ni kamchezo fulani kuhadaa watu..
Ni kiini macho na hadaa tu za watawala Ili kufunika mauaji ya Oktoba 29,2925.
 
Hakuna Kiongozi hata mmoja alosema Maridhiano yatahusiana na matukio ya October 29, wala Uchaguzi, wala vyama vya Siasa, wala Utekaji, wala Katiba Mpya, na hata Muungano n.k.
Na haiwezekani kuwa na maridhaino ya mambo yote haya kwa vikao au kikao cha baadhi ya watu fulani. Huu ni mtihani usokuwa na majibu.
 
Back
Top Bottom