Maridhiano ya Taifa yapata mwelekeo mpya, muswada maalum waandaliwa

Kwanza turidhiane kuhusu uundwaji wa hiyo kamati yenu, hao wajumbe wenu mmewapata kutokana na makundi gani yaliyoridhia?
 
MITHALI 29
1 Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
 
Mambo yanapelekwa haraka haraka kukimbizana na deadline ya mabeberu! Anyways, kumfutia Lissu kesi zake ni mafanikio ya Mariadhiano kwa 50%.. Yaani wala hamna kutumia nguvu yooote hiyo! Asilimia zilizobaki ni kuwatunuku Watanzania "Katiba Mpya", baasi..! Hayo ndo muarobaini wa mpasuko uliopo!
 
Kwahiyo mlichagua wenyewe kwenye kamati hiyo acheni utapeli na siasa na kidalali
 
Mnaridhiana nini kwani? Aisee Wananchi wengine ni wapumbavu sana yaani wanatumika na Wanasiasa Hadi wanauwawa Kisha Wanasiasa wanaenda kugawana vyeo eti wameridhiana? 😂😂

By the way majinga ni mengi hii Dunia
 
Na hao wanaotajwa tajwa kuteka,kuua na kubabimbikia kesi watu,mtawaweka upande Gani na he wataendelea na vyeo vyao?
 
Tupunguze njaa na utani kwenye mambo ya msingi. Tunalazimisha maridhiano huku tuna serikali batili?. Kuna watu wamuawa October 29 mpaka Leo maiti zao hazionekani?. Huku wanachama wa CHADEMA mia na kitu wapo mahabusu kwa mashtaka ya kubambikiziwa?. Don't be stupid.
 
Mnaridhiana nini kwani? Aisee Wananchi wengine ni wapumbavu sana yaani wanatumika na Wanasiasa Hadi wanauwawa Kisha Wanasiasa wanaenda kugawana vyeo eti wameridhiana? 😂😂

By the way majinga ni mengi hii Dunia
Hivi shehe Shariff majini alikuwa anaandama? Master Tindwa alikuwa anaandamana. Punguza roho mbaya wewe ibilisi.
 
Hivi shehe Shariff majini alikuwa anaandama? Master Tindwa alikuwa anaandamana. Punguza roho mbaya wewe ibilisi.
Waliponzwa na mijinga iliyojaa Kila mahala na ambayo ilikuwa inatumika.

Hata Mimi ningeweza kupata na kadhia hiyo japo sikuwa sehemu ya ujinga wa Wanasiasa.Vita Haina macho.

Swali kinachoitwa kuridhiana kinamfaidisha nani zaidi ya Wanasiasa? Wananchi wajinga wapewe Elimu ya kuacha kutumika Kwa manufaa ya Kisiasa.

Binafsi nawachukia sana Wanasiasa ndio maana nilisikia mwanasiasa amekufa Huwa nafurahi kimoyomoyo maana siwezi kusikitika akifa mtu ambae ananitawala au anatafuta kunitawala.
 
Maridhiano na Muafaka ni
1. Uwajibikaji
2. Katiba ya wananchi


Punguza uchawa na kujipendekeza
 
Muuaji unawalaumu victims
 
Maridhiano ni jambo jema ila nauliza
Ni nani alisababisha hadi Nchi usiwe na maridhiano?
Na kama aliweza kusababisha kuto ridhiana na akaweza
Je atadhibitiwa vipi atakapo fanya tena hadi tusiridhiane baada ya maridhiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…