Wapo wengi tu watakubaliana na huu ujinga,kuna vyama rafiki kama vinavyoshiriki uchafuzi viko tayariCCM inaanzisha fujo,kutokuelewana na maovu mengine mengi ili baada ya watu kuumia ndiyo walete usanii wa maridhiano.Huo ni upuuzi kama ujingaujinga mwingine tu.Unawaumiza sasa ili baadaye uwape peremende wanyamaze?Anayekubaliana na huo ujinga hana tofauti na muanzisha ujinga.
ujanja ni kupata unachokitaka kwanzw kisha mengine baadaye. kanuni ya kuishi kwa kupulizia. Carrot and stick principleAsingepitishwa na hii tume fake ya uchafuzi
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.
Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!
Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.
Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?
Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?
Mtu mwenye nia thabiti ya kujutia yaliyo waumiza waTanzania hasubiri kutenda yaleyale kwa nia ya kubaki madarakani, huku akiahidi kuyajutia baadae akisha fanikisha nia yake mbaya..
Huu ni ulaghai, waTanzania ni lazima wautambue na kuukataa..
Okujanja ni kupata unachokitaka kwanzw kisha mengine baadaye. kanuni ya kuishi kwa kupulizia. Carrot and stick principle
Dry matters..😁Kuna mambo yanayoendelea nchni yanatia wasiwasi kama ubongo wa baadhi ya watu una moisture content ama ni dry matters.
Uzi tayari
Samiah ni mhuni aliyekubuhu.Ni hadaa tu ili uchaguzi upite.
Alikuja na 4R zikaishia mdomoni.
Akaja na maridhiano uchwara.
Akaja na kikosi kazi cha kina Zitto bila matokeo.
Tukaambiwa tutaelimishwa elimu ya katiba kwa miaka 3. Sijui kama wamefanya.
Maza sasa ni rasmi, yuko kwenye genge la Wahuni.
Yeah!In plain language, Samia The Killer anasema maridhiano hayawezi kufanyika kabla ya igizo la uchaguzi, kwa sababu yataharibu mpango wake wa kubaki madarakani. Acha critics wauawe tu kwa sasa, atatafuta maridhiano baada ya igizo la uchaguzi!
Changa la macho4r zimekufa, anataka kufufua maridhiano sasa.
Na kwanini iwe baada ya uchafuzi na sio kabla.
Atakuwa malikia.wakati huo na kila.kitu itakuwa.yes mom,sasa hivi ni.mgombea anatumia kila nguvu ya kike kupata mtoto Tanzania kwa hila na ulaghai4r zimekufa, anataka kufufua maridhiano sasa.
Na kwanini iwe baada ya uchafuzi na sio kabla.
Hii ndo inaitwa ngoja nikaibe then nikishafanikisha naenda kuungama.Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya.
Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya utawala wake bado zinaendelea kwa kasi kubwa!
Mtu mwenye kutaka maridhiano ange eleweka endapo wakati huu pangekuwepo na juhudi za kweli za kuachana na maovu ambayo yatajutiwa wakati wa mazungumzo ya maridhiano.
Utaahidi vipi maridhiano wakati nchi inaendelea kuvurugika wakati huu tukielekea kwenye matumizi makubwa ya nguvu na kutenda maovu ili abaki madarakani.
Ina maana matendo maovu yatakayojutiwa kwenye maridhiano ni yale yaliyokwisha fanyika hadi hapa tulipo wakati ahadi zikitolewa, au ni pamoja na yale yatakayo fuata kuwahakikishia wanabaki madarakani kwa nguvu?
Hii ahadi ya maridhiano inatolewa kwa dhati, au ni hadaa na ulaghai kama ilivyo kawaida ya uongozi huu?
WaTanzania wataziamini ahadi hewa za namna hii?
Mtu mwenye nia thabiti ya kujutia yaliyo waumiza waTanzania hasubiri kutenda yaleyale kwa nia ya kubaki madarakani, huku akiahidi kuyajutia baadae akisha fanikisha nia yake mbaya..
Huu ni ulaghai, waTanzania ni lazima wautambue na kuukataa..
4r zimekufa, anataka kufufua maridhiano sasa.
Na kwanini iwe baada ya uchafuzi na sio kabla.
Kwa nini asingefanya maridhiano kabla ya uchaguzi Mkuu?
Ni dhahiri amegundua kuwa bila maridhiano atakuwa na kipindi kigumu sana cha kutawala na kuongoza nchi
Sahihi kabisa!Hii ndo inaitwa ngoja nikaibe then nikishafanikisha naenda kuungama.