Mariga VS Okoth uchaguzi mdogo wa Ubunge pale Kibera (Kibra) Kenya nimejifunza mengi

Mariga VS Okoth uchaguzi mdogo wa Ubunge pale Kibera (Kibra) Kenya nimejifunza mengi

FACT: Kibra ni kwa wanubi sio waluo na waluhya ndio wengi Kibra zaidi ya hata wanubi au waluo. Kuna tofauti kati ya mtaa wa Kibera na eneo bunge la Kibra. Eneo bunge la Kibra linajumuisha mtaa wa Kibera pamoja na mitaa mingine ya kifahari kama Ngumo, Karen, Lang'ata n.k. n.k.
Na cha kushangaza ruto alimueka mariga kw sababu ya waluhya..manake ni qengi sana hko hta kuliko waluo..

Meza imepinduliwa, jamaa kasema eti mkenya hawezi mpigia kura mtu ambae sio wa kabila lake[emoji1787][emoji1787]
 
Hila kwa sasa kisiasa tumepolomoka kwa kasi ya ajabu, sijui viumbe wengine huwa wanaibukia wapi. M/kiti wangu mungu anakuona, sasa huku mitaani hata bia wengine hatununuliani kama zamani.Wakishajua wewe ni CCM kindakindaki washikaji wanakula kona wanakuona mwanga.
Kweli mkuu[emoji1787][emoji1787]
 
Kenya kwa demokrsia wako ligi nyingine na akina South Africa, Botswana, Namibia, Ghana, Nigeria, Benin nk.

Tanzania tuko ligi moja na akina Rwanda, Burundi, Uganda, Congo Republic, Cameroon, eSwatini, Equatorial Guinea nk.
 
Back
Top Bottom