komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kuna tofauti ya eneo kibera na kibra constituency bro..Yaani uchaguzi ufanyike Kibera halafu Odinga ashindwe? You can't be serious.
Mbna mnakurupuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tofauti ya eneo kibera na kibra constituency bro..Yaani uchaguzi ufanyike Kibera halafu Odinga ashindwe? You can't be serious.
Na cha kushangaza ruto alimueka mariga kw sababu ya waluhya..manake ni qengi sana hko hta kuliko waluo..FACT: Kibra ni kwa wanubi sio waluo na waluhya ndio wengi Kibra zaidi ya hata wanubi au waluo. Kuna tofauti kati ya mtaa wa Kibera na eneo bunge la Kibra. Eneo bunge la Kibra linajumuisha mtaa wa Kibera pamoja na mitaa mingine ya kifahari kama Ngumo, Karen, Lang'ata n.k. n.k.
Kweli mkuu[emoji1787][emoji1787]Hila kwa sasa kisiasa tumepolomoka kwa kasi ya ajabu, sijui viumbe wengine huwa wanaibukia wapi. M/kiti wangu mungu anakuona, sasa huku mitaani hata bia wengine hatununuliani kama zamani.Wakishajua wewe ni CCM kindakindaki washikaji wanakula kona wanakuona mwanga.
Kenya kwa demokrsia wako ligi nyingine na akina South Africa, Botswana, Namibia, Ghana, Nigeria, Benin nk.
Tanzania tuko ligi moja na akina Rwanda, Burundi, Uganda, Congo Republic, Cameroon, eSwatini, Equatorial Guinea nk.