mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Mpaka anafariki Jumanne Khalfani Uvuruge kilikuwa kinamuuma kuona wimbo alioutunga yeye lakini dunia nzima ilidhani umetungwa na Marijan Rajab
Marijan alikuwa mtoto wa mjini sema alizaliwa kipindi muziki haulipi,ingekuwa sasa angekufa tajiri kwa huo wimbo.
Wanamuziki wa zamani waliambulia umaarufu na magonjwa ya zinaa tu