Ina maana aliuiba au alimuuzia? Bado sijaelewa kinachoendelea baina yaoUlitungwa na jumanne khalfani uvuruge
Hakuuiba wala hakumuuzia,walikuwa bendi moja,Uvuruge aliutunga,ila leading singer alikuwa Marijani na akautendea haki.Marijani alikuwa popular kuliko Uvuruge watu wakajua ni wimbo wake kumbe ni mate wakeIna maana aliuiba au alimuuzia? Bado sijaelewa kinachoendelea baina yao
Kuna bendi kama marquiz du zaire,tancut almas etc zilikuwa na wanamuziki kama 40 hivi,mwingine kazi yakekupiga marakasau manyanga,nwingine anakuwa anagonga chupa inatoa mlio fulani hiviWimbo maarufu wa Georgina, pia hujulikana kama Jojina, uliimbwa na Marijani Rajabu akiwa na bendi ya Safari Trippers katika miaka ya 1970. Ingawa Marijani ndiye aliyeimba, mtunzi wa wimbo huu ni Jumanne Uvuruge, mpiga gitaa wa bendi hiyo. [1]
Kisa Halisi Nyuma ya Wimbo
Wimbo huu ulitokana na tukio la kweli lililomhusu msichana aitwaye Georgina Mahiga. Katika mwaka 1974, Georgina alikuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari ya Zanaki, Dar es Salaam. Alipata ujauzito kutoka kwa mpenzi wake aliyekuwa mwanafunzi wa Tambaza, rafiki wa karibu wa Marijani Rajabu. Baada ya tukio hilo, familia ya Georgina ilimpeleka Iringa, jambo lililowasikitisha vijana waliokuwa karibu naye. Hali hiyo ilimchochea Jumanne Uvuruge kutunga wimbo huu, ambao Marijani aliimba kwa hisia nyingi.
Washirika 'watunjatanjata', Vijana Jazz, Juwata Jazz nk. Ila waliokuwa kwenye bendi za mashirika pamoja na kugonga walikuwa wakilipwa mishahara kama wafanyakaziKuna bendi kama marquiz du zaire,tancut almas etc zilikuwa na wanamuziki kama 40 hivi,mwingine kazi yakekupiga marakasau manyanga,nwingine anakuwa anagonga chupa inatoa mlio fulani hivi