Asprin ndugu yangu, umefeli mara tatu, nakuomba jaribu mara ya nne na nina hakika safari hii utafaulu adhima yako. (sio kwamba natabiri kama yule sheikh wa Magomeni la hasha, upepo unaashiria hivyo)Ah ndugu yangu wewe! Mimi nina maslahi na CCM tena?
Anyway, ila nina bahati mbaya hakuna siku niyomchagua mtu akashinda. Nilishajaribu kwa Mrema - hola, nikajaribu kwa Lipumba - aa wapi, nikarusha karata yangu kwa Mbowe - hamna kitu! Damn it!
Katika hali kushangaza mtangazaji wa TBC1 Marine Hassan Marine wakati anamalizia kipindi chake cha jambo leo asubuhi ametangaza kuwa Kikwete ndio mshindi wa urais na Dr. Slaa na Prof. Lipumba watakuwa wanashindana nani apate kura nyingi. Hivi hii TBC inamwakilisha nani? ni ya taifa au ya CCM? kweli safari yetu ndefu na NEC watakaa kimya kwa hili pia
Sidhani kama kuna cha kubisha hapo.
Marine Hassan = CCM
TBC1 = CCM
Msajili wa vyama vya siasa = CCM
Mkuu wa Majeshi = CCM
Jaji Mkuu = CCM
IGP = CCM
Kamishna wa Magereza = CCM
Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi = CCM
........................... = CCM
Ukijumlisha vyote hapo utakuta JMK = CCM = Rais wa JMT 2010-2015.
Halafu eti mnataka nipoteze muda wangu kupiga kura? Siku hiyo nitashinda baa!
Ah ndugu yangu wewe! Mimi nina maslahi na CCM tena?
Anyway, ila nina bahati mbaya hakuna siku niyomchagua mtu akashinda. Nilishajaribu kwa Mrema - hola, nikajaribu kwa Lipumba - aa wapi, nikarusha karata yangu kwa Mbowe - hamna kitu! Damn it!
Katika hali kushangaza mtangazaji wa TBC1 Marine Hassan Marine wakati anamalizia kipindi chake cha jambo leo asubuhi ametangaza kuwa Kikwete ndio mshindi wa urais na Dr. Slaa na Prof. Lipumba watakuwa wanashindana nani apate kura nyingi. Hivi hii TBC inamwakilisha nani? ni ya taifa au ya CCM? kweli safari yetu ndefu na NEC watakaa kimya kwa hili pia
...Huyu bwana Marin Hassan jana tu nimetoka kusema kwenye uzi mwingine luwa muda mrefu tu yeye ameisjajionyesha kuwa ni miongoni mwa wale wanaojigonga gonga kwa JK na Chama Chao ili wasisahauliwe kwenye Ufalme wa Miaka Mitano ujao! Pathetic.
Sasa walichokuwa wanasema wamedhalilishwa kiko wapi; hawaoni kama watu wa aina ya Marin ndio wanaowadhalilisha waandishi wenzao?OFISI ya Rais (Ikulu), imesema imeshtushwa na kushangazwa na katuni iliyochorwa katika gazeti la Kenya la Sunday Nation la Jumapili iliyopita inayomuonyesha Rais Jakaya Kikwete akilambwa viatu na waandishi wa vyombo vya habari hapa nchini.
Akizungumza na Tanzania Daima kwa simu jana, Mwandishi Msaidizi wa Habari wa Rais, Maura Mwingira alisema Ikulu imeiona picha hiyo na kuichukulia kuwa ni dhihaka mbaya kwa Rais Kikwete na kwa vyombo vya habari hapa nchini.
...
Alisema pamoja na wao (Ikulu) kukaa kimya, ana imani kwamba, vyombo vya habari hapa nchini, vina wajibu wa kutokaa kimya katika hili kwani, katuni hiyo nayo inaonyesha kwamba waandishi wa habari wanamlamba Rais Kikwete viatu, jambo alilolielezea kuwa ni udhalilishaji wa taaluma ya uandishi.
sasa walichokuwa wanasema wamedhalilishwa kiko wapi; hawaoni kama watu wa aina ya marin ndio wanaowadhalilisha waandishi wenzao?
Ongezea na hii mkuu wa usalama wa taifa =ccm
kwa aliye uliza historia ya huyu Marine Hassan
ni mzanzibari mwenye asili ya comorro kama sikosei...........na amesoma vyuo vya uandishi wa habari hapo hapo Tanzania.
Mi naona kuna agenda ya TBC kumpigia debe CCM, leo tena wakati nacheki TBC mtangazaji Danieli Kijo karudia yaleyale ya marine! Walikua wanasoma vichwa vya habari vya magazeti kuna habari ya Dr Slaa kuchukua form sasa yeye baada ya kusoma akawauliza wale washiriki wa kipindi chake wao wanaonaje Slaa kupoteza ubunge maana hatapata urais! Watu wote wakawa na mawazo ka yake yaani bora abaki kwenye ubunge! Ivi hawa watangazaji wanajua maana ya chombo cha umma?Katika hali kushangaza mtangazaji wa TBC1 Marine Hassan Marine wakati anamalizia kipindi chake cha jambo leo asubuhi ametangaza kuwa Kikwete ndio mshindi wa urais na Dr. Slaa na Prof. Lipumba watakuwa wanashindana nani apate kura nyingi. Hivi hii TBC inamwakilisha nani? ni ya taifa au ya CCM? kweli safari yetu ndefu na NEC watakaa kimya kwa hili pia