Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

1739067665897.jpg
 
Kwa mnaojua, huyu ni kiumbe gani anapatikana bahariniView attachment 3220580
Anaitwa sea urchin kwa kiingereza.

Kwa sehemu nilizozunguka kuna sehemu nimekuta wanamuita masuma na sehemu zingine wanamuita kaa bahari.

Kuna kipindi walikua wengi sana coco beach, kwakua wao hula mwani nafikiri hicho ni kipindi ambacho mwani ulipatikana kwa wingi Coco beach hata karibu na maji ya magoti.
 
Back
Top Bottom