Maringo kibao, kumbe hamna kitu maseee!

Umefanya kosa kubwa sana kutopiga show.
 
Weka picha yako hapa tuone kama wewe u mzuri....maana isijekuwa 'nyani haoni kundule'
Mwanaume awe mzuri anagombea umiss? Mwanaume sura ngumu nyie wanaume ndio mnajichubua na kupaka shedo
 
pole sana mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…