Mario Baloteli

Umeona sasa?
Lakini chanzo cha yote hapo ni nini?
Shida mkuu maisha..!
 
Alikua na kipaji ila nidhamu na majivuno ndiyo vimemmaliza halafu baada ya kuishiwa anaanza kuwaambia blacks wenzake eti waache kuchezea Ulaya warudi Africa kuandaa ligi.

Akaulizwa unamiongeleaje Ronaldo akajibu mi simjui Ronaldo.
Jamaa alijikubali kupitiliza lakini ni kipaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…