Mario Baloteli

Mario Baloteli

Inategemea kila mmoja ana stori yake kwanini anachezea taifa jingine.

Mfano Pepe, angeweza kuchezea Brazil ila alivyofika Ureno hana hela mfukoni akamwambia mzee wa mgahawani kwamba ana njaa ila hana hela. Yule mzee akampa chakula Pepe, kutoka hapo akadhamiria hata akitoboa atachezea Ureno.
Umeona sasa?
Lakini chanzo cha yote hapo ni nini?
Shida mkuu maisha..!
 
Alikua na kipaji ila nidhamu na majivuno ndiyo vimemmaliza halafu baada ya kuishiwa anaanza kuwaambia blacks wenzake eti waache kuchezea Ulaya warudi Africa kuandaa ligi.

Akaulizwa unamiongeleaje Ronaldo akajibu mi simjui Ronaldo.
Jamaa alijikubali kupitiliza lakini ni kipaji
 
Back
Top Bottom