Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Umeona sasa?Inategemea kila mmoja ana stori yake kwanini anachezea taifa jingine.
Mfano Pepe, angeweza kuchezea Brazil ila alivyofika Ureno hana hela mfukoni akamwambia mzee wa mgahawani kwamba ana njaa ila hana hela. Yule mzee akampa chakula Pepe, kutoka hapo akadhamiria hata akitoboa atachezea Ureno.
Lakini chanzo cha yote hapo ni nini?
Shida mkuu maisha..!