Jmaa anajua hatumii nguvu mskilize kwenye mary me ya Barnaba
Inshu ni nyota.... Ukishakuwa na nyota umemaliza.
Na ndo maana wanapotambulisha huwa wanaanza na nyota wa mpira wa kikapu, muziki wa pop............
Hatumii power, inajiendesha yenyewe hiyo himaya yake.Dogo yuko vizuri sana
Napenda ila wimbo yake kuna sehemu, inaema sijui " manyaku nyaku tii tiii, manyaku nyaku "Alichokosea mleta uzi ni kusema Marioo ni msanii MKUBWA KULIKO VANNY BOY na HARMO
Bado hajaufikia ukubwa wa Vanny boy na Konde
Angesema ni msanii anayefanya vizuri kwa sasa
NB: Namkubali sana Marioo hasa ile ngoma yake NAOGOPA
Marioo Ni msanii mzuri ila kamwe hawezi mzidi Harmonize...Sio ubishi,
Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri.
Mungu mbariki Mario kipaji chake kituburudishe.
Kuanzia sasa show za Mario zote nitahudhuria kumuunga mkono.
Marioo anauandishi mzuri hizo colabo zote amefanya poa zaidi labda kimauzo ya streams na youtube marioo bado yupo nyumaMarioo Ni msanii mzuri ila kamwe hawezi mzidi Harmonize...
Kaisikilize ngoma ya NAOGOPA ndo utajua marioo bado n mtoto mdogo Sana kwa jeshiiiiii...
Rudi Tena kasikilize taquero uone alivofichwa na rayvanny...
Mario anajua kuimba Ila mashairi yake n mepesi Sana compare to van boy au konde boy
Sipo mbali sana na wewe mkuu ila kutokana na baadhi ya factors nafasi ya 2, 3 na 4 huwa hao wasanii wanapokezana sana hasa pale wanapoachia ngoma. Na wote wameshindwa kumfikia Diamond platnumz ambaye ndio namba 1 kwa Tanzania kutokana na namba alizo nazo.Sio ubishi,
Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri.
Mungu mbariki Mario kipaji chake kituburudishe.
Kuanzia sasa show za Mario zote nitahudhuria kumuunga mkono.
Huwezi kumpamba mario mpaka umpambanishe na wengine.Uchawi ulianzia tanzania.Sio ubishi,
Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri. Mungu mbariki Mario kipaji chake kituburudishe.
Kuanzia sasa show za Mario zote nitahudhuria kumuunga mkono.