Mario msanii mkubwa kuliko Vanny Boy na Harmonize kwa sasa

Mario msanii mkubwa kuliko Vanny Boy na Harmonize kwa sasa

Dogo ka kwama anaishia humu humu ndani show za nje kupata anachemka kupata.

Kwa kipindi hiki anahitaji aweke mzigo na atafute mtu wa kumpush nje ya mipaka ya Tz aache ubahili.Kwani kwa kipindi cha miaka 2 mfululizo Mario amedominate game ya Bongo Fleva na mpaka sasa album yake bado inafanya vizuri.

Hapo ndipo utofauti Diamond na wasanii wengine wa bongo fleva unapo onekana.
 
Marioo anauandishi mzuri hizo colabo zote amefanya poa zaidi labda kimauzo ya streams na youtube marioo bado yupo nyuma
Inawezekana hujui maana ya uandishi yaani konde boy kwenye ngoma ya NAOGOPA katema madini kinyama we kaisikilize upya hiyo ngoma verse ya marioo kaimba imba tu Mara tushindie tembele mambo ya ovyo
 
Sio ubishi,

Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri. Mungu mbariki Mario kipaji chake kituburudishe.

Kuanzia sasa show za Mario zote nitahudhuria kumuunga mkono.
Mm mwenyewe pmj na udocta wangu mm Ni shabiki wake mkuu Sana napenda ngoma zake haswa ile aliyoimba na hormonize

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ukubwa wa msanii mnaangalia nini? Weka numbers hapa kawazidi nini na kwa kiasi gani sio blahblah tu kisa katoa hit songs
 
Back
Top Bottom