joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Dogo ka kwama anaishia humu humu ndani show za nje kupata anachemka kupata.
Kwa kipindi hiki anahitaji aweke mzigo na atafute mtu wa kumpush nje ya mipaka ya Tz aache ubahili.Kwani kwa kipindi cha miaka 2 mfululizo Mario amedominate game ya Bongo Fleva na mpaka sasa album yake bado inafanya vizuri.
Hapo ndipo utofauti Diamond na wasanii wengine wa bongo fleva unapo onekana.