Mario msanii mkubwa kuliko Vanny Boy na Harmonize kwa sasa

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Sio ubishi,

Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri. Mungu mbariki Mario kipaji chake kituburudishe.

Kuanzia sasa show za Mario zote nitahudhuria kumuunga mkono.
 
Alichokosea mleta uzi ni kusema Marioo ni msanii MKUBWA KULIKO VANNY BOY na HARMO

Bado hajaufikia ukubwa wa Vanny boy na Konde

Angesema ni msanii anayefanya vizuri kwa sasa

NB: Namkubali sana Marioo hasa ile ngoma yake NAOGOPA
Napenda ila wimbo yake kuna sehemu, inaema sijui " manyaku nyaku tii tiii, manyaku nyaku "
 
Sio ubishi,

Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri.
Mungu mbariki Mario kipaji chake kituburudishe.

Kuanzia sasa show za Mario zote nitahudhuria kumuunga mkono.
Marioo Ni msanii mzuri ila kamwe hawezi mzidi Harmonize...
Kaisikilize ngoma ya NAOGOPA ndo utajua marioo bado n mtoto mdogo Sana kwa jeshiiiiii...
Rudi Tena kasikilize taquero uone alivofichwa na rayvanny...
Mario anajua kuimba Ila mashairi yake n mepesi Sana compare to van boy au konde boy
 
Marioo anauandishi mzuri hizo colabo zote amefanya poa zaidi labda kimauzo ya streams na youtube marioo bado yupo nyuma
 
Sio ubishi,

Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri.
Mungu mbariki Mario kipaji chake kituburudishe.

Kuanzia sasa show za Mario zote nitahudhuria kumuunga mkono.
Sipo mbali sana na wewe mkuu ila kutokana na baadhi ya factors nafasi ya 2, 3 na 4 huwa hao wasanii wanapokezana sana hasa pale wanapoachia ngoma. Na wote wameshindwa kumfikia Diamond platnumz ambaye ndio namba 1 kwa Tanzania kutokana na namba alizo nazo.
 
Ukubwa wa msanii kuwazidi wengine unapimwa kwa vigezo gani?
 
1> Harmonize
2> Marioo
3>
4>
5>
6>

Yani kwa mbaali ndo anafatia huyo Rayvany,, shida moja nyimbo zake nyingi melody zimepooa km anaimba kwaya halafu huyu mtoto anajiweka kijike sana, anaonekana mwoga pia,,
 
Sio ubishi,

Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri. Mungu mbariki Mario kipaji chake kituburudishe.

Kuanzia sasa show za Mario zote nitahudhuria kumuunga mkono.
Huwezi kumpamba mario mpaka umpambanishe na wengine.Uchawi ulianzia tanzania.
 
Back
Top Bottom