Mario msanii mkubwa kuliko Vanny Boy na Harmonize kwa sasa

Dogo ka kwama anaishia humu humu ndani show za nje kupata anachemka kupata.

Kwa kipindi hiki anahitaji aweke mzigo na atafute mtu wa kumpush nje ya mipaka ya Tz aache ubahili.Kwani kwa kipindi cha miaka 2 mfululizo Mario amedominate game ya Bongo Fleva na mpaka sasa album yake bado inafanya vizuri.

Hapo ndipo utofauti Diamond na wasanii wengine wa bongo fleva unapo onekana.
 
Marioo anauandishi mzuri hizo colabo zote amefanya poa zaidi labda kimauzo ya streams na youtube marioo bado yupo nyuma
Inawezekana hujui maana ya uandishi yaani konde boy kwenye ngoma ya NAOGOPA katema madini kinyama we kaisikilize upya hiyo ngoma verse ya marioo kaimba imba tu Mara tushindie tembele mambo ya ovyo
 
Bongo bila kiki hutoboi na hicho ndio kinamuangusha marioo
 
Mm mwenyewe pmj na udocta wangu mm Ni shabiki wake mkuu Sana napenda ngoma zake haswa ile aliyoimba na hormonize

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ukubwa wa msanii mnaangalia nini? Weka numbers hapa kawazidi nini na kwa kiasi gani sio blahblah tu kisa katoa hit songs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…