Marioo: Sina mpenzi na sijawahi

Marioo: Sina mpenzi na sijawahi

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake.

Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo wake wa mahusiano

“Sina mpenzi na sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote, sipigi nyeto na sio bikra, Ila nina njia zangu ninazozijua mwenyewe” alisema Marioo.

Aidha Marioo alizungumzia kiwango chake cha elimu ambapo alisema kuwa, hakufika Sekondari ameishia darasa la Saba lakini hadi sasa alipofikia, anajiona anayo elimu ya kidato cha nne.

Katika video iliyorekodiwa hivi karibuni imezua taaruki mitandaoni huku mashabiki wengine wakidai pengine hana mpenzi wa kike ila anae wa kiume sio kwa mahaba haya ya kushikana shikana hadharani

Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake.

Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo wake wa mahusiano.

“Sina mpenzi na sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote, sipigi nyeto na sio bikra, Ila nina njia zangu ninazozijua mwenyewe” alisema Marioo.

Aidha Marioo alizungumzia kiwango chake cha elimu ambapo alisema kuwa, hakufika Sekondari ameishia darasa la Saba lakini hadi sasa alipofikia, anajiona anayo elimu ya kidato cha nne.

Katika video iliyorekodiwa hivi karibuni imezua taaruki mitandaoni huku mashabiki wengine wakidai pengine hana mpenzi wa kike ila anae wa kiume sio kwa mahaba haya ya kushikana shikana hadharani
View attachment 2008005

Duh mbona Kama sio riziki mtu hapo
 
Back
Top Bottom