Marioo: Sina mpenzi na sijawahi

Marioo: Sina mpenzi na sijawahi

Nafikiri dogo angeishia kusema hana mpz stori za Ana njia zake zinaleta utata

Naamini dogo si shoga wala Hali mashoga labda ananunua ma dada poa matakor yake (kanikera kusema Ana njia zake)
Hali mashoga kivipi, haujaona mahaba hapo na 'partner' wake.
ANA NJIA ZAKE, jiongeze umuelewe alichokimaanisha.
 
Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake.

Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo wake wa mahusiano

“Sina mpenzi na sijawahi kuwa na mahusiano na mtu yoyote, sipigi nyeto na sio bikra, Ila nina njia zangu ninazozijua mwenyewe” alisema Marioo.

Aidha Marioo alizungumzia kiwango chake cha elimu ambapo alisema kuwa, hakufika Sekondari ameishia darasa la Saba lakini hadi sasa alipofikia, anajiona anayo elimu ya kidato cha nne.

Katika video iliyorekodiwa hivi karibuni imezua taaruki mitandaoni huku mashabiki wengine wakidai pengine hana mpenzi wa kike ila anae wa kiume sio kwa mahaba haya ya kushikana shikana hadharani
Marioo
 
Back
Top Bottom