Mariupol yaanguka, ushindi wa kwanza mkubwa wa Urusi

Huyu jirani anayeleta majambazi kwetu na mashoga lazima apondwe kichwa, avunjwe uti wa mgongo na akatwe miguu
Kwanza mrusi alikuwa akipigana vita vya kidugu, alipoona hawa jamaa wanaleta jeuri na yeye akaamua abadili mbinu na kupunguza huruma za udugu. Jirani gani huyu anayekuletea majambazi nyumbani kwako.
 
For the Great Mother Russia
 
Hiyo Moriopol Russia wamekuwa wakitangaza mara kadhaa upo chini yao lakini Ukraine wanakataa
Kama umesikiliza vilio vya raisi Zelensky sasa utakubaliana na Urusi kuwa Mariupol ipo chini yao.Anachobembeleza Zelensky ni kuwa hao askari wake waliobaki wasiuliwe.Anatishia ikiwa watauliwa basi mazungumzo na Urusi itakuwa basi. Hoja zake hazina maana kama hajawaamrisha wajisalimishe.Na atakachokifanya Mrusi kwao basi asilaumiwe.
 
Haya siyo maisha rais wa ukraine alitakiwa kufikiria mara 2 kabla ya kuchukua ushauri wa wamagharibi.
Huyu sasa sio adui wa Waukreni tu bali wa dunia nzima.Ametuletea balaa kubwa la kiuchumi kwani nchi yake ilikuwa ni shamba la dunia. Eti kila siku anataka tuandamane kwa ajili ya upuuzi wake.
 
Maneno ya Meya wa Mariupol baada ya mji kuanguka"Nasikia warusi wanajisifia kukamata mji wa Mariupol,wameuwa watu zaidi ya elfu 10 na kubomoa asilimia 95 ya majengo yote.sasa hapo kuna mji gani wa kuchukua,mji usiokuwa na watu wala majengo"

Haya ni maneno ya mkosaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie warusi kwa kutunga habari hamjambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni utamaduni wa kisoviet kuharibu miji

Bado kievu hua wakiondoka wanaacha Ghost city muwakumbuke vizuri ni Russian War culture...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…