DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ufafanuz mzur sanaUle ni mtaji mkubwa sana kwenye medani za kivita, unaweza kuwatumia kukidhi baadhi ya mahitaji yako kwa adui yako au mabadilishano ya mateka wa kijeshi.
Vilevile kwa upepelezi, inasaidia kujua nguvu ya adui iko wapi...maana jana tu Urussi katangaza Makomandoo wa Uingereza ndio wanawafundisha kwa sasa wanajeshi wa Ukrane.
Hiyo ni baada kuwahoji wanajeshi wa Ukrane waliotekwa...hata baadhi ya sehemu anazoshambulia Mrusi ni hao hao mateka wanasanua baada ya kuminywa.
Sent using Jamii Forums mobile app