Mariupol yaanguka, ushindi wa kwanza mkubwa wa Urusi

Mariupol yaanguka, ushindi wa kwanza mkubwa wa Urusi

Pro NATO na USA ni wajinga sana. Wengi wao weupe sana kwenye mambo ya vita Wanaendeshwa na propaganda za magharibi. Walipoona viongozi wakuu wa nchi mbalimbali wanaitembelea kyiv wakaanza kuropaka eti kyiv ni salama anga yote ya Ukraine nato wanaikontroo. Wakapewa visiraha wakaona wana uwezo wa kupigana na Russia. Wakalusha vikambola vyao visivyo na madhara kuvuka boda, wakachokoza nyuki sasahivi wameambjwa kwa huo ujinga wao wamesababisha kyiv kuanza kushambuliwa rasmi. Tuone nato wataulinda vipi mji wa kyiv na makombora ya Russia.
 
Surrender or die
Screenshot_20220417-095022.jpg
 
Kwanza mrusi alikuwa akipigana vita vya kidugu, alipoona hawa jamaa wanaleta jeuri na yeye akaamua abadili mbinu na kupunguza huruma za udugu. Jirani gani huyu anayekuletea majambazi nyumbani kwako.

Jamaa walileta dharau kwasababu ya Nato wajeda wa UK na Us walikamatwa mariopol wengine walikua wanalia lia kukosa weapons na misosi haha,pia ile ishu yakushambulia boda ya urusi imechangia walionywa hawakusikia sasa Kyiv nayo inapigwa
 
Hahahahaaa,ujinga na upumbavu wa zerenski,kukubali nchi yake kuwa uwanja wa kuonyeshana misuli kati ya marekani wakiwa Nato,wakapambana na warussi,
Wamarekani, EU na NATO wapumbavu Sana,Badala ya kusisitiza mazungumzo waelewane kiriplomasia wao wanajazia silaha na kumkoki ukraine akapige kwenye ardhi ya urusi.

Matokeo yake Ndo majuto Kama hayo[emoji26]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom