Mariupol yaanguka, ushindi wa kwanza mkubwa wa Urusi

Ufafanuz mzur sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha....
Anajifariji[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Ukraine anashinda.
Anaangamiza miji mingi ya Russia.
Anateketeza vifaru na magari ya deraya.
Anazamisha meli za adui.
Mbaya zaidi Urusi kafilisika. Hana mafuta wala chakula.
Alisikika mpenzi mmoja wa ushoga akisema

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Daah awa watu wakae wamalize tofauti zao. Ukraine anazidi haribu nchi yake na kutesa watu wake. Kama kuna njia ya mazungumzo yenye kuleta amani waitumie haraka.
Baada ya vita. Na waukraine wakarejea kwenye makazi yao. Hapo ndipo watakapomtafuna nyama mbichi huyo comedian

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Daah awa watu wakae wamalize tofauti zao. Ukraine anazidi haribu nchi yake na kutesa watu wake. Kama kuna njia ya mazungumzo yenye kuleta amani waitumie haraka.
Huyu raisi wa Ukraine ameamua kuuza nchi yake kwa ghalama za maisha ya watu wake, ilikuwa ni wamuzi wa kutofungamana na upande wowote,ili watu waishi kwa amani,Sasa maisha yameharibika kisa kutaka kuleta adui karibu na mbabe rusia, Ukraine imeonywa Mara kibao,acha kuleta maadui zangu kalibu yangu lkn akawa jeuri, kiburi hakijengi Bali kinabomoa,cube iliambiwa na marekani toa silaha za kirusi sivyo tutakufanya kitu kibaya,alipo toa maishi yaliendelea Kama kawaida,kwa upuuzi huu Ukraine itabakia jangwa,acha waonyeshane ubabe kwenye ardhi ya Ukraine,wababe walikuwa wanatafuta pa kupimishia mnguvu yao,Sasa wamepapata kwa mpuuzi zele,hii vita inaweza kuchukua hata miaka 10, kwamaana silaha wanazo,chakula wanacho,majeshi wanayo,hela wanayo ya kutosha,mwisho wa hii vita ni Ukraine kugawanywa Kama Korea kusini na Korea kaskazini,hakuna mshindi kati ya urusi na Ukraine (NATO+marekani) mwisho wa hii vita ni busala itumike kwa marekani na NATO kuishawishi Ukraine wakubali dipromasia
 
Umeona mbali Sana mkuu[emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bandari ndio kila kitu boss achana na majengo
 
Bandari ndio kila kitu boss achana na majengo
Urusi wanakomaa na huu mji wa bandari Maana ndio umeshikilia uchumi na usalama mzima wa Ukraine.

Wakiuachia,
meli za kivita, silaha na Kila kitu cha washirika wa Ukraine vitaingia Ukraine kwa urahisi sana.

Afu urusi watapara tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha kuizamisha hii meli ya Russia, amin amin nawaambia! Ukraine imechezea moto.
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine inabidi ashinde hii vita ili apate compensation.

Compensation itatia ulemavu Urusi.

Ulemavu utamaanisha one "super power?" Down. This benefits USA and her allies.

So nafikiri watastep in
Labda UKRAINE ashinde njaa na sio ashinde Vita.
 
Kwanza mrusi alikuwa akipigana vita vya kidugu, alipoona hawa jamaa wanaleta jeuri na yeye akaamua abadili mbinu na kupunguza huruma za udugu. Jirani gani huyu anayekuletea majambazi nyumbani kwako.
Ushindi wa kuangamiza roho za wasio na hatia ama ushindi wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…