Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Ila 1980-1990s kilikuwa ni kipindi cha movie za kijeshi sana 🀣🀣🀣 af nyingi kali. Sikuhizi movie za kijeshi hamna kabisa. Hata zikitoka sio kali.
 
ila hawa viumbe watu hatari sana @Mzee wa kupambania .. ndio maana ukijua unatombewaaa unaweza kuaa.. mademu huwa wana wa diss sana wanaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
🀣🀣🀣🀣 ndo maana kugongewa inauma sana kwa sababu ukikumbuka jinsi wanavyowadiss jamaa zao pale 6Γ—6

Mimi nasemaga nikijua demu kanisaliti hapo hamna msamaha hata alie, apige magoti, ajigalagaze hapo chini
 
Mpaka Sasa hakujawai kutoka kichwani.
Ndandanda nda nda ndaΓ—4
Haa James kitambo hatijaonana mara ya mwisho ilikuwa 2018 ktk jukwa la intelligence Sijajua kwanini picha za zamani zinaleta hisia kusahau ni ngumu au kwakuwa zilikuwa chache hivyo tulikuwa na uwezo wa kuangalia mara kwa mara
 
Wee Mzee ahsante umenikumbusha mbali sana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]enzi za VHS
Choc Norris nomaa
 
🀣🀣🀣🀣 ndo maana kugongewa inauma sana kwa sababu ukikumbuka jinsi wanavyowadiss jamaa zao pale 6Γ—6

Mimi nasemaga nikijua demu kanisaliti hapo hamna msamaha hata alie, apige magoti, ajigalagaze hapo chini
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wasela tuna kazi sana
 
Michelle Yeoh
 

Attachments

  • Screenshot_20230411_091105_Chrome.jpg
    83.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230411_091400_Chrome.jpg
    92.1 KB · Views: 3
Oya Nesi kapona kweli 🀣🀣🀣???
Aponeee wapii πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kaisha vizuri.. nilikuwa nacheka kimoyo moyo anavyomkandia jamaa yake πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ukitaka sikia maneno ya shombo ya mdada kwa mwamba wake mkojoze mfikishe vilele vyotee ndio utajua walivyo na maneno ya shombo

Alafu nikaanza kama mfagilia mshikaji wake.. ukuda sana haya mambo
 
Kuna ile mzee anachomwa moto mbele ya mtoto wake kumbe kajifukia chini. Adui anapigwa risasi ya jicho heka heka mwanzo mwisho[emoji1787][emoji1787]. Kwanza kuna muda starring ni kama alishonwa usoni bila ganzi yaani movie full visanga tu.
Muvi Gani hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…