James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Kipindi hicho ni Daya of the dead. The living dead, return of the living dead...blades...jeshi la wafu...from dust till dawn....etc[emoji2][emoji2] Kama Wrong turn? Zile hadi leo hapana zinanishtua sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii movie wabongo tuliipenda Sana,lkn Cha ajabu huko ma mbele ilifanya vibaya sokoni mbaya kabisa.Kuna muvi za SOLO
Jamaa mmoja Robot alaf kipara...
Hiyo ndo haiba ya uanamke sio unakuta mwanamke anatazama movies za kutisha hata haogopi utafikiri dume 😀😀😀
Ila movie za Steven seagal sometimes hua Ni changamoto Sana, mwamba hua hapigwi ye anabonda tu.Wakali wa mkono walikuwa
Michael Dudikoff
Steve James
Bill Blanks
Jalal Merhi
Cynthia Rothrock
Chuck Norris
Steven Seagal
.
.
.
.
Romeo must dieKuna ile ya Jet Lee kacheza na mtoto Aaliyah nimesahau jina
Ila movie za Steven seagal sometimes hua Ni changamoto Sana, mwamba hua hapigwi ye anabonda tu.
Hard to kill naikubali.
Movie zake za miaka hii Ni za kijinga,low budget films na ujinga mwingi.
Kama nimeijua sio ile kubwa la maadui anachapa bakora wanajeshi wake jamaa anafungwa anaangalia juaMtoto ndo anachomwa moto mbele ya dingi ake, kumbe kile kitoto kilikuwa kijanja kikajifukia chini, Dah Those back days
Mtoto ndo anachomwa moto mbele ya dingi ake, kumbe kile kitoto kilikuwa kijanja kikajifukia chini, Dah Those back days
Extrovert kinachokusumbua ila instargia effect kukumbuka moments za zamani ila ulweli movie za miaka hio hamna kitu kabisa zilikuwa kwa wakati wake sahihi tu kwa akili, maendele za wakati huo zilotufanya tuone nzuri ila ukweli hizo movie zingetoka sasahivi 😂😂😂Ila 1980-1990s kilikuwa ni kipindi cha movie za kijeshi sana 🤣🤣🤣 af nyingi kali. Sikuhizi movie za kijeshi hamna kabisa. Hata zikitoka sio kali.
Katika maisha ya uhalisia kabisa, Steven Seagal ni Marshal Artist na yuko vizuri sana huyo MzeeIla movie za Steven seagal sometimes hua Ni changamoto Sana, mwamba hua hapigwi ye anabonda tu.
Hard to kill naikubali.
Movie zake za miaka hii Ni za kijinga,low budget films na ujinga mwingi.
Sio hazina amsha amsha ni akili yako kwasasa na kupita kwa wakati mfano WAR BUS kweli ni movie Basi tu ilikuja wakati wake Sasa hio tobi na maliki ingetoka hii 2023 ingekuwa kichekeshoKweli movie za Sasa nyingi hazina amsha amsha Tena uwe makini kucheki na watoto unaweza Kuta wanakulana live live
Yaap, teknolojia ilikuwa hafifu, computer na TV zile za migongo mikubwa, No laptops, mobile phone hakuna zaidi ya radio callHi mbona Kama inakuja kwenye memory fanya uweke cover l
Extrovert kinachokusumbua ila instargia effect kukumbuka moments za zamani ila ulweli movie za miaka hio hamna kitu kabisa zilikuwa kwa wakati wake sahihi tu kwa akili, maendele za wakati huo zilotufanya tuone nzuri ila ukweli hizo movie zingetoka sasahivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mzee...Soudier Boys - Michae Dudikof au?
Huyo mniga anaitwa Chuck Bishop na movie inaitwa The hard way...kitambo sana!Moja ya movies zangu bora za kivita hii mniga analiwa na mamba