Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

Ila movie za Steven seagal sometimes hua Ni changamoto Sana, mwamba hua hapigwi ye anabonda tu.

Hard to kill naikubali.

Movie zake za miaka hii Ni za kijinga,low budget films na ujinga mwingi.

Actors wa zamani wote kwa sasa wanaigiza movie zenye bajeti ndogo, hazina mvuto...

Bruce Wills ndio anaongoza na mimovies kibao jau tu...
 
Hii movie siijui,lkn kipindi hicho nadhani channel 5 nakumbuka walikua wanaonyesha movie siku ya J2 usiku.

Kuna movie waliwahi kuionyesha channel 5,jamaa mwishoni walipigana afu Kuna jamaa akawa ameificha bastola ndani ya tumbo(yaani kwny utumbo huko). Sikumbuki jina la hio movie.
 
Napendelea hizi kuliko huu utopolo wa Netflix na Amazon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…